Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Utasikia turikuwa tunapambana naro ririkuwa na siraha ya motho rikatushinda tukaamua tujibu mapigo turearest kwa kurijeruhi na risasi ritakuwa ni rijambaziacheni uzembe ninyi watu, hao askari bila shaka hawana siraha kwa sababu hakuna mkuu wa kituo
mjinga kiasi hicho cha kuwapa siraha, pili hawapo hapo rasmi (hawajatumwa), sasa ninyi mnashindwa nini kutoka na mapanga, marungu na mashoka muwakoboe hapo hapo "live". acheni uzembe bana