Ukonga Mombasa kimenuka tena

Ukonga Mombasa kimenuka tena

Hii sasa ni too much jana nilijua ni gongo zao walizo kunywa leo tena wanapiga wananchi?

Acheni ufala nyie wanaume wa Dar, hamjui mnachotakiwa kufanya kazi kulia lia kama wanawake
 
Kama kawaida askari wa FFU wanatembeza mkong'oto hapa ukonga mombasa
Inasikitisha lakini tulitegemea na tutegemee makubwa zaidi!Nimemsikliza Kibonde kwenye jahazi na wamefanya jitihada za kumhoji diwani,na kiongozi mwingine wa mtaa pia kamanda wa polisi na baadhi ya majeruhi.Nimesiktishwa na response ya kamanda wa Polisi hasa baada ya kusema wamewakamta watu 19 ambao ndio wanaamini wamshiriki katika mauaji.
kuhusu kupigwa watu wasio na hatia ameshauri waende Polisi wakalalmike na Kibonde akachoemkea "upigwe na polisi kisha uende polisi,mmh".
Tukio la leo kuna mwanajeshi naye kapigwa sasa wakitokea kambini wakenda ukonga kutakalika?
Mwenyezi na aepushie mbali lakini nimeshuhudia askari wakibadilishana zamu katika ma bank na kwa kweli ni kama watu ambao wako tayari kufyatua bunduki wakati wowote,nahisi kuna shida.
 
Mwanaume unaanzaje kuandika kama hivi, naona kabisa hapa dishi limeyumba

Acha use*nG* kibuyu ww....cjaquote kwny uziwako wala cjaquote kwny post yko yyte na pia sijakuhusisha kwny post yng yyte kwhyo ni vzr ukajiheshimu **** kibuyu wewe
 
Acha use*nG* kibuyu ww....cjaquote kwny uziwako wala cjaquote kwny post yko yyte na pia sijakuhusisha kwny post yng yyte kwhyo ni vzr ukajiheshimu **** kibuyu wewe
Povu la nini Mkuu,yani nguvu unazotumia kupaniki hapa kama ungezitumia kupigana na hao askari muda huu ungekuwa umelala ndani kwako badala ya mtaroni.
 
Basi jifunze kuandika kiswahili fasaha,mbona kitu rahisi tu Mkuu...mambo ya kuandika xaxa,cjuy cku etc yanakushushia heshima yako kama great thinker.

Kama ww unadhn hvo ni sawa kwa upande wko...ss usitumie kigezo iko kumdisturb mtu mwingne...km hujapendezwa na aina ya uandishi wng inapaswa upite bila kulike wala kucomment...hakuna sheria ya aina ya kutype umu...ungeweza kubaki ata na fikra zko bila kumharibia mtu cku....ni hayo tu
 
Ni katika kurekebishana tu ndugu yangu don't take it personally
 
Na leo tena
Chukueni mawe mapanga na marungu wasiwazingue bana nyinyi wanaume wa Dar vipi mmekaa kama wanawake kulialia tu ingekuwa mkoani nchi nzima ina taarifa ya polisi kuuawa
Mkuu hebu usinichekeshe mimi!! Hivi huwajui wanaume wa Dar? Ukitaka kuwafahamu vizuri wanaume wa Dar mwangalie Ray Kigosi, muda wote kujichubua kama dada zao! Sasa wewe unawalaumu nini mkuu? Hao ni sawa na mabinti tuuu!!
 
Back
Top Bottom