Ukonga Mombasa kimenuka tena

Ukonga Mombasa kimenuka tena

Ni katika kurekebishana tu ndugu yangu don't take it personally

Kurekebisha nn!!? watu wanarekebisha kauli na sio aina ya uandishi...all in all inaonekana hauko makini maana alieandka iyo aina ya uandish wa Xaxa na cjui ni mtu mwngne uko juu uliemquote...
 
Kama kupigana nao hamuwezi atleast warushieni mawe tu sasa mnakubali kupigwa bure bure tu
 
Mimi nipo zangu home Mazizini nataka niende hapo FFU Mess nikapate hata Plisner mbili baridi wakuu
 
Wanaume wa Dar wanajua kula chipsi tu kupambana hawawezi
Sasa utamlinda vipi mkeo kama mwanaume unakuwa legelege
Jifunzeni sanaa za mapambano karate ngumi judo
Wanaume wa Dar bana kama mademu tu
Kamanda pointi yako naipa uzito wa juu kabisa. .heavyweight.
 
Hao si askari wa FFU! Ni vibaka na dawa ya vibaka inajulikana.Nimesikia walimsulubu hadi mjeda!Hivi kweli mjeda anasulubiwa kizembe kizembe hivi?!!
Yaani mjeda naye analalamika clouds?!!!Yale maonyesho yote ya kuvunja matofali halafu eti FFU wanatangaza ubabe tena siku 2?!!!Hii ni ajabu kubwa sana!
 
Na leo jamaa wamejipanga wana hadi mabomu ya machoZi
 
Mwanaume wa dar akiona kirungu ata kama kabeba mmasai kama kukimbia hawezi basi atapoteza fahamu!
 
Mm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
Acheni ungese sasa hata watoke hao askari wote ni sawa na idadi yenu vijana wote hapo kitaa? halafu hakuna kiongozi atayewaruhusu waje kuwapiga raia
 
Mpaka umeme wametukatia huku.nasikia wanataka kuingia nyumba hadi nyumba .kweli tuna kazi wiki hii sisi wakazi wa mombasa/gongolamboto itabidi tupambane tu na hali yetu maana Sirro ametukataa
Tanzania haijawahi kuwa na vita.
Upuuzi wa kuana unaanza na maonevu kama haya
 
Maeneo ya ukonga kina Mura ni wengi sana. Inakuwaje wanashindwa kupambana?
Mkuu nadhani Mura ni wengi Mitaa ya kitunda "kunako patikana mayai kwa wingi" kuliko hapo ukonga Mombasa
 
Back
Top Bottom