Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Haya mambo mpaka lini kwenye nchi huru??
basi kama hili ni endelevu hii ni order toka kwa mkuu waoWasalamu Wakuu,
Field Force Unity Ukonga wanaendeleza zoezi lililoanza jana la Kuwapiga na kuwavunja Raia wa maeneo ya Ukonga mpaka Chanika ..
Inasemekana siku ya Ijumaa kuamkia jumamosi Askari mmoja wa kikosi ya FFU aliwawa na watu wasiojulikana maeneo ya Mazizini Mombasa kisha kumtupia katika lango la kambi ya FFU Ukonga.
Hapo jana Askari waliovalia sare za jeshi la FFU wakiwa na marungu pamoja na fimbo walikua wakipiga raia yeyote anaezagaa kuanzia saa 12 jioni, Watu wasio na hatia Watoto, wazee na akina mama wamepiga na wengine kuvunjwa.
Taarifa zunasema Zoezi hili ni endelevu kwa muda wa wiki nzima,
Nawasilisha