Ukonga: Majambazi wavamia kituo cha mafuta Moshi Bar

Fedha mtaani ishaanza kurudi katika awamu ya 6,ujenzi unaendelea kwa kasi sana! Kipindi cha JIWE watu walikuwa hawajengi hawana hela....Mikumi tena kwa SSH.
Kabisa na bavicha wanaziokota kila siku!

Na si mikumi 10 tu, bali milele tena kwa mama na ccm mbele kwa mbele
 
Kabisa na bavicha wanaziokota kila siku!

Na si mikumi 10 tu, bali milele tena kwa mama na ccm mbele kwa mbele

Fedha haziokotwi bashwee hata rais akiwa shemeji yako au mmeo!! Kila rais ana sera zake za kuingiza fedha kwenye mzunguko ,JIWE sera zake zilikuwa za kuondoa fedha kwenye mzunguko na matajiri waishi kama mashetani ila Mama sera yake ni kuirudisha fedha kwenye mzunguko kwa kuwavutia wawekezaji waje kuwekeza na kuwapa mazingira ya win win ,kutowadhulumu wafanyabiashara na kuwapora fedha!
 
Ndio maana nikasema mleta mada atulie huo ujambazi ndio kurudi kwa hela mtaani huku bavicha tukiendelea kuziokota.

Jiwe alituchelewesha sana. Milele kwa mama na ccm
 
duh ...naishi hapo Moshi bar lkn sijasikia lolote ndo naona hapa hii habari itabidi nikirudi niulize kwa wanaoshinda kule aisee....
 
Asilimia kubwa ya verified members wa JF wana matatizo ya akili na watu wa ovyo ovyo kama manara alivyowaita waandishi wa michezo. Michango yao ni ya ovyo mno.

Verified wa zamani kidogo walikua wanajielewa na kutoa point nzuri.
Numbisa umekuwaje siku hizi?
 
😆😆😆😆 ss hv kabaki kile kipumi tu aka forehead
usisahau na miwani pia eti alikuwa anaipenda sana waka mvalisha akatishe nayo malaika jamaani dah
hawajui kofi moja tu alilopigwa na malaka na miwani ilisagika 😁
yaani unaambiwa ilo kofi unaona mawimbi ya sunami live bila chenga na kuanguka huangukia ili usikilize!
 
Haahahaa unawakera mayatima jaman
 
Majambazi yamevamia kituo cha kuuzia Mafuta (petrol Station) iliyojengwa maeneo ya Moshi Bar.

Kituo hicho cha kuuzia Mafuta kimejengwa hivi karibuni katika eneo ambalo kulikuwa na Bar ijulikanayo kama Recho katija eneo la Kipunguni B Wilaya ya Ilala Jimbo la Ukonga. Inasadikika kuwa Majambazi hayo yameua Watu Watatu ambao walikuwa ni Pump attendants.

Poleni Wafiwa.
kabla ya kupost jaribu kufatilia usije kuwa unatoa habari isiyo sahihi habari ni kuwa mlinzi alikoki vibaya bunduki ikafyatuka na kumjerui pump attendant na hakuna aliyefariki hii inaleta wasiwasi tuwe waangalifu
 
Back
Top Bottom