Ukomavu wa kisiasa; Wakati Kenya wanaonesha njia, Tanzania kama wafanyavyo mbuni, tumezika vichwa mchangani

Halafu kuna ile ya kurushiana masumbi.
Wana siasa za kipumbavu sana. Huyo kwenye video wanayemuita baba amekuwa kama mungu kwa wafuasi wake. Ukitofautiana naye ndio utapewa majina kama hayo.

Huku nako kuna viongozi kwenye vyama wanataka waabudiwe. Ukitofautiana nao wewe ni msaliti kwa wafuasi wao, bila kujali wamefanya upuuzi gani kama tulivyoshuhudia 2015.

Ukitaka kutumia haki yako kidemokrasia kugombea nafasi wanazoshika unaambiwa sumu haionjwi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

This reeks of things we need to do away with as a nation.
 
niliwahi kuuliza circle ya karma inaanzia wapi na inaishia wapi? Na tunajuaje mwanzo wa karma ni huu na mwisho wa karma ni huu unaofunga circle hiyo.

Nakumbuka ulinijibu kwa kirefu lakini kubwa nililo libeba ulisema hilo swali ni gumu.

Kwa msingi wa ugumu huo yawezekana huyo unayemtuhumu kuwa karma imemshughulikia aweza kuwa mwanzo wa circle ya karma. Vinginevyo uondoe ugumu wa kujua karma inaanzia wapi na inaishia wapi.
Karma inatumia kanuni ya cause and effect, on what goes around, comes around!. Unahukumiwa kwa matendo yako. Ukitenda mema, unalipwa mema, ukitenda maovu, unalipwa uovu. Hivyo mwanzo wa karma ni mwanzo wa matendo yako mwenyewe.

The circle starts with action from you, kwa kutumia 1st, 2nd na 3rd Newton's law of motion.
1st - The body in motion, ili kuhukumiwa na karma, ni lazima ufanye kitendo, ila sio lazima tendo la physically, hata kumuwazia mwenzako mabaya, kumnenea mabaya na kumtendea mabaya, karma ina ku hit.
2nd law ya equal and opposite reaction. Kila kitendo utakacho kitenda kitakurudia na utalipwa mara dufu. Ukitenda wema unalipwa mema mara dufu na ukitenda ubaya, unalipwa ubaya maradufu na ubaya ukizidi na kukithiri, karma inakula kichwa!. Karma ikiisha kula kichwa huo ndio mwisho wa adhabu kwa mtendaji.

Hii karma ina ubaya na uzuri.
Ubaya:
Ubaya wa karma ni kama imekula kichwa, lakini by the time inakula kichwa, mhusika hujalipa deni la karma in full, then deni linahamia kwa generation yako hadi kizazi cha 4l!. This is not fair at all!. Kwanini mtu asiye na hatia kubebeshwa dhambi ya mzazi wake.

Ubaya wa pili wa karma, unaweza kufanya ubaya mdogo tuu, mfano Tundu Lissu kumfukuza Zitto Kabwe Chadema kwa tuhuma za usaliti. Kwa vile Zitto sio msaliti kweli, then mapigo ya karma, yaliyomshukia Lissu ni makubwa ajabu kuliko kumtimua Zitto Kabwe Chadema.

Uzuri wa Karma
1. Haiweki kisasi, ukiisha lipia deni la karma in full, kosa linafutwa na utabarikiwa.

2. Ukitenda ubaya, kama kuamuru Lissu Ashughulikiwe, na kweli akashughulikiwa. Ukitenda wema mkubwa zaidi, kama kutembea na mabulungutu ya fedha na kugawa kwa masikini, ule ubaya wote wa karma yako unafutika na kugeuka wema!. Hivyo mnaweza kushangaa watu wema wakiadhibiwa na watu waovu wakbarikiwa!.
P
 
Marekani inayojigamba kuwa kinara wa demokrasia duniani majaji wote wa mahakama ya juu kabisa huko wanajulikana milengo yao kisiasa, na mara kadhaa wameamua mashauri kisiasa kama walivyofanya kwenye kesi ya kupinga ushindi wa Bush 2000.

..ametoa mfano mzuri sana, lakini naona hautetei hoja yako ya kuiponda demokrasia ya Marekani.

..Uamuzi wa supreme court ya Marekani wa 2000 ulimpa ushindi George Bush ambaye alikuwa mgombea wa UPINZANI.

..Wakati uamuzi huo unatolewa Rais alikuwa ni Bill Clinton na chama tawala ni Democrat lakini supreme court ikampiga chini mgombea wa chama hicho.

..Je, hapa Tz mahakama zetu au tume za uchaguzi zina ubavu wa kuamua kinyume na mgombea Uraisi wa chama tawala / ccm?

..jambo lingine ni kwamba Wamarekani wana tabia / utamaduni wakichagua Rais toka Republican, basi ktk mid term elections watachagua Democrats kuongoza bunge.

..hapa Tanzania tunafanya makosa kuchagua Ccm nafasi ya Urais na kuwajaza bungeni pia. Walau tungeweka 40% ya wabunge wawe upinzani demokrasia yetu ingetupa matokeo mazuri zaidi.
 
..Je, hapa Tz mahakama zetu au tume za uchaguzi zina ubavu wa kuamua kinyume na mgombea Uraisi wa chama tawala / ccm?
Jambo moja zuri sana 'blessing in disguise '. Kesi ya Mbowe imesaidia sana kufumbua watu macho
Wengi walikuwa na mashaka tu dhidi ya mahakama. Kesi hii imetuonyesha ukubwa tatizo kwasababu Mahakama imepoteza credibility na sasa kuwa tawi tu na si mhimili pekee

Kuhusu Marekani, watu wanachanga sana mitizamo ya Mahakama kuu na mitazamo ya siasa
Mahakama kuu ya US ina majaji wenye mitazamo ya kiliberali na kihafidhina, hii haimaanishi ni siasa

Hata mahakama kuu zetu za siku za nyuma zilikuwa na mitazamo kama hiyo ingawa haikuwa wazi

Trump anakwama vibaya kwa Majaji aliowateua, misimamo ya baadhi ya majaji kuhusu mambo kama ''abosheni'' inaendana na Wahafidhina lakini haina maana wanafuata siasa.
 
Katika hili la Lissu, kiukweli kabisa Sa100 hakuhusika na hakujua kitu chochote!. Kwa sisi tunaojua kusoma eye contact, ukiangalia picha hii, View attachment 2062246
This picture speaks everything!.
P
Nakubaliana na wewe. Na siyo hili tu ila kuna mengine mengi sana ambayo alikuwa hajui japo alipaswa kuyajua. Ndiyo maana watu wenye busara wanasema inatakiwa aonyeshe busara sasa. Akubali kulikuwa na tatizo na kuwe na namna ya kuleta waathirika wote pamoja ili tuanze upya. Na ndiyo msingi wa thread hii ya Mag3 . Hotuba yake aliyoitoa mara baada ya kuapishwa (nadhani alikuwa anaongea na wazee) ilionyesha alikuwa na malengo mazuri sana. Nina uhakika aliposema wajitayarishe kwa mabadiliko makubwa na kuonyesha nia ya kushirikiana na wapinzani, hakumaanisha yule sijui ''kwini'' aliyepewa u-RC. Kilichokuja kumbadilisha mpaka leo ni kitendawili. Mimi nilitegemea angeita wakimbizi wote wa kisiasa walioko nje na kuwaahidi usalama wao na kuwaomba waijenge nchi kwa pamoja!
 
Nazungumzia Wanasiasa wa hapa Tanganyika.

Siasa kwao ni KAZI na AJIRA za KUTAJIRISHANA.

Wanasiasa Wote wa Tanganyika WANAFANANA

View attachment 2062381
Uko sahihi kwa kiasi fulani. Ni hivi: wanasiasa wote duniani wako hivi.. au sahihi zaidi walikuwa hivi. Kilichofanya hawa wa Tanzania (Afrika?) waendelee kubaki hivyo ni uzuzu wetu wananchi. i.e. mwanasiasa anahitaji kusimamiwa! Narudia tena.. mwanasiasa anahitaji kusimamiwa na asipewe pumzi hata kidogo. Wananchi wakiamka na kuweza kuwasimamia wanasiasa na kukataa uzembe wa aina yoyote, maendeleo yatapatikana.
 
..Uamuzi wa supreme court ya Marekani wa 2000 ulimpa ushindi George Bush ambaye alikuwa mgombea wa UPINZANI.

..Wakati uamuzi huo unatolewa Rais alikuwa ni Bill Clinton na chama tawala ni Democrat lakini supreme court ikampiga chini mgombea wa chama hicho.
Msingi wa hoja yangu ni kwamba kule kila rais huteua majaji anaojua wanaendana na mlengo wa chama chake kisiasa. Hiyo unaionaje kidemokrasia?!
 
Nakubaliana na wewe. Na siyo hili tu ila kuna mengine mengi sana ambayo alikuwa hajui japo alipaswa kuyajua. Ndiyo maana watu wenye busara wanasema inatakiwa aonyeshe busara sasa. Akubali kulikuwa na tatizo na kuwe na namna ya kuleta waathirika wote pamoja ili tuanze upya. Na ndiyo msingi wa thread hii ya Mag3 . Hotuba yake aliyoitoa mara baada ya kuapishwa (nadhani alikuwa anaongea na wazee) ilionyesha alikuwa na malengo mazuri sana. Nina uhakika aliposema wajitayarishe kwa mabadiliko makubwa na kuonyesha nia ya kushirikiana na wapinzani, hakumaanisha yule sijui ''kwini'' aliyepewa u-RC. Kilichokuja kumbadilisha mpaka leo ni kitendawili. Mimi nilitegemea angeita wakimbizi wote wa kisiasa walioko nje na kuwaahidi usalama wao na kuwaomba waijenge nchi kwa pamoja!
Mkuu macho_mdiliko , naunga mkono hoja, Mama asaidiwe ili aweze!. Ashauriwe kama hivi, awaite wale wakimbizi wote na kuwahakikishia usalama wao, warejee nyumbani kuja kulijenga taifa. Watakao gomea ulaya, tutajua sio wakimbizi wa kisiasa bali ni wakimbizi wa Kiuchumi.

Naendelea kusisitiza, Mama asaidiwe!. Peke yake hawezi!. Msaada wako na ushauri kama huu, unahitajika sana!.
P
 
Msingi wa hoja yangu ni kwamba kule kila rais huteua majaji anaojua wanaendana na mlengo wa chama chake kisiasa. Hiyo unaionaje kidemokrasia?!

..haina tatizo as long as vyama hubadilishana / hupokezana ktk nafasi za Uraisi na majority bungeni.

..pia umesahau kueleza kwamba Majaji kuteuliwa na Raisi lakini huthibitishwa na bunge. Na imewahi kutokea Raisi akateua Jaji lakini bunge ikakataa kumthibitisha.
 
Katika hili la Lissu, kiukweli kabisa Sa100 hakuhusika na hakujua kitu chochote!. Kwa sisi tunaojua kusoma eye contact, ukiangalia picha hii, View attachment 2062246
This picture speaks everything!.
P
Naungana nawe mkuu , Ila pia Pascal Mayalla watu Kama wewe ni adimu hasa kwenye social media zetu na hata vituo vya television na redio .

Hapa Kama unaweza kuwa na udhaifu was kibinadamu ,lakini katika Kufuatilia mabandiko na maelezo yako ,huwa unajitahidi kuelezea uhalisia wa kitu kadili unavyo kijua.

Naamini unatamani kuona watanzania wote tunakuwa wakweli na wawazi na hasa viongozi na watumishi wa serikali walio aminiwa na kupewa dhamana ya kutuongoza wengi.

Nakuomba wewe na wajuzi wa mambo mbalimbali muliyo humu JF na kwingineko , muendelelee kuandika sana ju ya kuelemisha watu kuishauri serikali mambo mema .

Ule uhasama wa wanasiasa ni uchawi mkuu wa maendeleo halisi ya nchi yetu , Tushauri Rais mwenye na vyama vyote nchini wakae mezani na kuondoa fitina zote na nchi iwe huru amani ya moyoni na usoni zitawale .

Siasa za chuki na kuuana hazina tija yeyote kwa taifa ,Bali tukubaliane kujenga uchumi huru wa nchi yetu kwa pamoja bila kujari vyama,Imani,na makabila yetu .
 
Ubaya wa pili wa karma, unaweza kufanya ubaya mdogo tuu, mfano Tundu Lissu kumfukuza Zitto Kabwe Chadema kwa tuhuma za usaliti. Kwa vile Zitto sio msaliti kweli, then mapigo ya karma, yaliyomshukia Lissu ni makubwa ajabu kuliko kumtimua Zitto Kabwe Chadema.
Asante kwa mara nyingine kwa ufafanuzi.
===
NB: Hapa niliponukuu, umeibua mjadala.
 
Karma inatumia kanuni ya cause and effect, on what goes around, comes around!. Unahukumiwa kwa matendo yako. Ukitenda mema, unalipwa mema, ukitenda maovu, unalipwa uovu. Hivyo mwanzo wa karma ni mwanzo wa matendo yako mwenyewe.

The circle starts with action from you, kwa kutumia 1st, 2nd na 3rd Newton's law of motion.
1st - The body in motion, ili kuhukumiwa na karma, ni lazima ufanye kitendo, ila sio lazima tendo la physically, hata kumuwazia mwenzako mabaya, kumnenea mabaya na kumtendea mabaya, karma ina ku hit.
2nd law ya equal and opposite reaction. Kila kitendo utakacho kitenda kitakurudia na utalipwa mara dufu. Ukitenda wema unalipwa mema mara dufu na ukitenda ubaya, unalipwa ubaya maradufu na ubaya ukizidi na kukithiri, karma inakula kichwa!. Karma ikiisha kula kichwa huo ndio mwisho wa adhabu kwa mtendaji.

Hii karma ina ubaya na uzuri.
Ubaya:
Ubaya wa karma ni kama imekula kichwa, lakini by the time inakula kichwa, mhusika hujalipa deni la karma in full, then deni linahamia kwa generation yako hadi kizazi cha 4l!. This is not fair at all!. Kwanini mtu asiye na hatia kubebeshwa dhambi ya mzazi wake.

Ubaya wa pili wa karma, unaweza kufanya ubaya mdogo tuu, mfano Tundu Lissu kumfukuza Zitto Kabwe Chadema kwa tuhuma za usaliti. Kwa vile Zitto sio msaliti kweli, then mapigo ya karma, yaliyomshukia Lissu ni makubwa ajabu kuliko kumtimua Zitto Kabwe Chadema.

Uzuri wa Karma
1. Haiweki kisasi, ukiisha lipia deni la karma in full, kosa linafutwa na utabarikiwa.

2. Ukitenda ubaya, kama kuamuru Lissu Ashughulikiwe, na kweli akashughulikiwa. Ukitenda wema mkubwa zaidi, kama kutembea na mabulungutu ya fedha na kugawa kwa masikini, ule ubaya wote wa karma yako unafutika na kugeuka wema!. Hivyo mnaweza kushangaa watu wema wakiadhibiwa na watu waovu wakbarikiwa!.
P
Unaposema "Lissu kumfukuza Zitto Chadema" hapa sikuelewi kabisa.

Hivi ni Lissu ndio alimfukuza Zitto Chadema au sheria na taratibu walizojiwekea Chadema ndio zilimfukuza Zitto?

Zitto wakati anaenda mahakamani alijua wazi sheria za chama chake hazimruhusu kwenda kule, sasa kwanini alikwenda? kudai haki?

Kama ni kudai haki kwanini hakufuata taratibu za chama chao walizojiwekea? na kama alikuwa haamini kuipata haki yake ndani ya chama chake kwanini wajumbe na wanachama wa Chadema wamuonee? why Zitto himself?

Hebu tusifiche uovu, matendo ya Zitto kabla ya kufukuzwa Chadema yalimuondolea kuaminiwa na wanachama wa chama chake (vikao vyake vya siri na JK huku akiutaka uenyekiti wa chama). Ndio maana kwa kutambua hilo akaamua kukimbilia mahakamani akidhani ndio angeipata haki yake.

Kumbe kwenda kwake mahakamani ndio alivunja sheria walizojiwekea chamani hivyo akawa amejifukuzisha mwenyewe, hakufukuzwa na Lissu, Lissu alitimiza wajibu wake tu kama mwanasheria wa chama.

Au wewe unatetea uvunjifu wa sheria?

Halafu hii "karma" nayo kama itakuwa na mtazamo kama wako nayo itakuwa haijielewi.
 
Mag3
Hizi ndizo siasa za maana kwa macho yako!!?
Masikini eliakeem, hakuna kiongozi amewahi kupata fursa ya kuiponyesha taifa kama Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan aliyetwaa madaraka si kwa kura bali kwa Katiba...

Hebu fikiria tu kama siku ile baada ya kuapishwa tu angepata ujasiri wa kuwaomba msamaha Watanzania kwa madhila waliyopitia mikononi mwa dhalimu mwendazake huku yeye akiwa ni makamu wake.

Fikiria kama siku ile angewaita viongozi wote wa vyama vya upinzani na kuwaomba radhi kwa mateso waliyopitia chini ya bosi wake yeye akiwa msadidizi wake mkuu na hakuwahi kutamka chochote.

Fikiria kama baada ya kuongea angewapa fursa na hao viongozi nao kuwaomba radhi wananchi kama katika kuimiza majukumu yao waliwakwaza baadhi ya wananchi wenzao wenye itikadi tofauti.

Fikiria kama yote haya yangefanyika hadharani bila kificho akiwataka Watanzania wasahau tofauti zao na waungane pamoja kudumisha sifa ya undugu na umoja ulioifanya Tanzania kuitwa kisiwa cha amani.

Fikiria kama angemalizia kwa kuwasamehe wafungwa wote ambao alijua fika walibambikiziwa kesi za kisiasa na kupewa vifungo kwa amri kutoka juu kwa viongozi wa serikali ambao yeye alikuwa moja wao.

Na mwisho kabisa hebu fikiria kama angewakumbusha wananchi kuwa yaliyopita si ndwele tuanze upya kwa kuganga yajayo kwa kuzingatia matakwa ya Katiba kama aliyoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea.

Ni bahati mbaya ilioje kwamba Rais Samia Suluhu Hasan hakutumia fursa hiyo adimu na hivyo sasa tunajikuta hapa tulipo. Usipoziba ufa, utajenga ukuta na kila mdharau mwiba akae akijua huo mguu utaota tende!
 
Siku hizi nashindwa hata kuingia JF kwani kwa sasa hili jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro. Hata hivyo hili tukio huko kwa jirani zetu limenizindua kutoka usingizi mzito. Kuna wakati taifa letu lilikuwa la kupigiwa mfano na hata sisi wananchi wake tulitembea vifua mbele bila soni wala aibu.

Nasikitika kuwa hivi leo nasita hata kujitambulisha kama Mtanzania kwani hakuna tena cha kujivunia! Tunawindana, tunatekana, tunatesana, tunajeruhiana,tunapotezana na tumefikia hata pahala pa kuuuana, kisa? Siasa. Ole wako usiwe na kinga ya vyombo vya dola kama ulinzi na usalama.

Wakati wenzetu pamoja na mapungufu yao wanapiga hatua kusonga mbele wakibebana ndugu zao wanaposhindwa kutembea, sisi kama mbuni vichwa tumevificha mchangani. Hakuna adui wa amani na usalama kama kujiaminisha kuwa tuko bora kuliko binadamu wengine na eti kama hukubali, hama nchi!

Hebu tutafakari japo kidogo yafuatayo. Hakuna kiongozi wa taifa hili aliyewahi kupata fursa ya kuiponyesha taifa kama Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan aliyetwaa madaraka si kwa kura bali kwa Katiba...

Hebu fikiria tu kama siku ile baada ya kuapishwa tu angepata ujasiri wa kuwaomba msamaha Watanzania kwa madhila waliyopitia mikononi mwa dhalimu mwendazake huku yeye akiwa ni makamu wake.

Fikiria kama siku ile angewaita viongozi wote wa vyama vya upinzani na kuwaomba radhi kwa mateso waliyopitia chini ya bosi wake yeye akiwa msadidizi wake mkuu na hakuwahi kutamka chochote.

Fikiria kama baada ya kuongea angewapa fursa na hao viongozi nao kuwaomba radhi wananchi kama katika kuimiza majukumu yao waliwakwaza baadhi ya wananchi wenzao wenye itikadi tofauti.

Fikiria kama yote haya yangefanyika hadharani bila kificho akiwataka Watanzania wasahau tofauti zao na waungane pamoja kudumisha sifa ya undugu na umoja ulioifanya Tanzania kuitwa kisiwa cha amani.

Fikiria kama angemalizia kwa kuwasamehe wafungwa wote ambao alijua fika walibambikiziwa kesi za kisiasa na kupewa vifungo kwa amri kutoka juu kwa viongozi wa serikali ambao yeye alikuwa moja wao.

Na mwisho kabisa hebu fikiria kama angewakumbusha wananchi kuwa yaliyopita si ndwele tuanze upya kwa kuganga yajayo kwa kuzingatia matakwa ya Katiba kama aliyoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea.

Ni bahati mbaya ilioje kwamba Rais Samia Suluhu Hasan hakutumia fursa hiyo na hivyo sasa tupo tulipo. Usipoziba ufa, utajenga ukuta na kila mdharau mwiba akae akijua huo mguu utaota tende!

Sasa si hamia kenya jinga wewe!!!

wewe una akili sana, mzalendo, una hoja maridhawa, mwanachadema mtiifu, ila kwenye REAL LIFE UMESTACK na failure na kutopata unachotaka!!! unashindwa kujua dunia na uhalisia wake, LIFE sio kuhusu logic na sense kama utakavyo!!

Sasa baadae kila mtu unamwona mchawi, mbaya, unamwona hafai, utahamia kwa mkeo watoto wako wote utawaona wajinga, utaenda kwa askofu utamwona mjinga,!!! kwako mwenye akili ni LISSU NA MBOWE TU!!!! wenye akili na wanaojua ni chadema tu!!

Upinzani ulishindwa kujijenga kwa hoja, kila mtu mkamwita msaliti, ananunuliwa, mmebaki ambao mko safi, kujenga hoja kinzani ilikuwa uadui na hata mlipoambiwa mnaenda kuangua kia pua, mkaanza kumlaumu JPM kufuta kila kitu chenu!!!! ume stack kwa JPM...mpaka JPM anakufa ukashangilia kifo chake kwa sababu MNAENDESHWA KWA EMOTION, EMOTION HAZINA SAYANSI WALA AKILI,

Lissu was supposed kupiga U-TURN ya kisiasa na KENYA UNAOWASIFIA wako vizuri kujua maana ya siasa!!!! LISSU NA wewe, mngejifanya wajinga kabisa, maana wajinga wengi ndio wanampenda JPM!!! nd ndio wako tayari kutoa kura kwa mtu yeyote ambae anauvuta ubongo wao

Kulikuwa na shida gani kwa Lissu kusema kasamehe, na anaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha JPM, kulikuwa na shida gani CDM kuonekana iko bega kwa bega kuomboleza na unaowaita WAJINGA?

CHADEMA leo hii ingetangaza inaendeleza na kusimamma mazuri yote ya JPM na inatangaza wazi itasimamia mazuri yote ya JPM, na kukataa mabaya yote. CDM ingechukua idea za marehemu, kama za hawa akina polepole

CDM hii uchaguzi ujao, ingekuwa na uhakika wa kushinda, maana JPM alikuwa against na CCM na mngemtumia JPM huyo huyo kama fimbo ya kuwaua CCM!!! hii ndio sayansi ya siasa, sio kuja na kulia lia na kusifia wakenya, sasa bandiko lako lina faida gani? limeongeza kura ngapi kwa chadema? limembadilisha nani?

mlipoambiwa hamna akili, mmekaa ki activist mkubali, IT WAS JUST A MATTER OF A DAY KWA LISSU KUJIHAKIKISHIA KUWA RAIS WA NCHI HII KAMA ANGECHEZA NA AKILI TU KWENYE MSIBA WA JPM!!! sasa imesaidia nini yeye kupigwa Risasi? na kutoenda ikulu? inasaidia nini CDM miaka 20 yote hii kufanya na kubadili siasa za Tanzania kutoka 2004 mpaka 2010?? na bado kufa kibudu?? Ninaposema Rais ni Rais wa mioyo ya watu ambao watu wanasubiri siku wampe nchi!!! sio kwa akili za Lissu huyu, chadema hii wala wewe!!!

Najua kwa akili yako ndogo utasema wingi wa watu 2025 kwenye mikutano ya chadema ndio ushindi wa chadema sio kweli!!! watu watahudhuria sana mikutano ya chadema kwa sababu Naturally wana kiu ya mabadiliko!! wana kiu ya upinzani, wana kiu CCM itoke....ila inapofika muda wa ballot box achana na kusingizia wizi wa kula, CDM haiko mioyoni mwa watu

Najua utaumia sana nikikueleza hata leo hii JPM, CCM, CDM viwe vyama vitatu vishindane, JPM atashinda hata kama ni marehemu!!!! hautaamini sio? achana na haters wa mitandao nenda kwa watu ordinary ( sorry ndio unaowaita hawana akili?) mioyo yao iko kwa JPM........najua bado kwa akili yako utasema alikuwa manipulator, mwongo...politics is all about taking innocent people to hell and sinners to heaven!!!!! siasa haina uhalisia ni UNAPATAJE WATU WENGI WAKUPIGIE KURA??

CDM imeshindwa mtihani huu, kupigiwa kura, watu kushinda kupigania kura, watu kuingia barabarani kupinga matokeo, LISSU tried to gather watu waandamane unajua nini kilitokea?? kwa sababu gani alishindwa?? no body cares!!!! sasa kwa nini msingemchukua JPM kwenye mbawa zenu kwa benefits za kisiasa????? emotion!!

Na kwa nini umewapenda kenya ambao viongozi hawana aibu ku switch vyama, kuungana, na kusalitiana!!!! wako wazi sana, hawana UMIMI, USISI, na eti sisi tunajua sana, wanaungana wanajua wanaweza kushinda, chadema na wewe should learn in that way sio clip ya kuombana msamaha..au haujasikia CDM moaka leo inajiona ni chama kikubwa kingali na mbunge mmoja??

Lissu aanze kuomba msamaha aliposema anafurahia kifo cha JPM!!! kwa watu wanaompenda JPM ambao kesho ataenda kuwaomba kula!!! hii ni akili kweli au mavi ya mtoto aliyekunywa uji wa dagaa??

Ukijalibu kujibu hii post utakuwa mpumbavu tu, nimekufuatilia, sio fighter wewe ni mdekaji, hauwezi kuandamana, unalialia na kujificha kwenye kivuli cha uzee wako JF, infact nyie ndio mmeua chadema bila kuwa wawazi kuwakosoa, kushauri viongozi wenu kwa sababu mnawapenda sana , again EMOTION!!!
 
Mkuu mbona Tanzania hatujapitia magumu yoyote ya kustahili kuombana radhi??
Magumu yapo... Yanakuja... Na yakianza kutokea kila nchi duniani itaungana na wananchi wa Tanzania kuwawajibisha viongozi na watawala!!
Uhuru wa bendera tulioewa kinyonge sana 1961. Wengi hawakujua thamani ya Uhuru. Bado walitamani mkoloni aendelee.
Tafadhalini. Tusirudie makosa. Tusipite shortcut! Tumusikubali Uhuru kamili nao tupewe kinyonge nyonge. Wengi hawatojifunza!!
Watanzania ni waoga kwa sababu ya uduni wa mifumo ya elimu. Ila si wajinga!
Ipo siku watalianzisha na hapatatisha!
Tusiwapime na Wakenya au Ghana au RSA au Marekani... Wale wamedhihirisha ukomavu wao kwa utatuzi wa madhila waliyopitia.
Watanzania bado hawajafikwa na vikwazo na kuvitatua!
Until then... Tuwape muda!
 
Back
Top Bottom