Ukoloni wa Ujerumani ulikuwa wa ovyo zaidi

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,626
46,270
Rais wa Ujerumani anapokuja kutumbelea tumkumbushe ukoloni wao ulikuwa wa hovyo sana tofauti na wakoloni wengine.

Makolini ya Ujerumani hayakuweza hata kurithi angalu lugha yao ya Kijerumani. Hakuna hata koloni moja la Ujerumani ambalo raia wake wanazungumza Kijerumani!

Afadhali hata katika makoloni mengine waliambulia angalau lugha za wakoloni wao ambao leo wanaweza kuzungumza nao vizuri kwa ufasaha.
 
Rais wa Ujerumani anapokuja kututumbelea tumkumbushe ukoloni wao ulikuwa wa hovyo sana tofauti na wakoloni wengine...
Sio kosa la wajerumani mkuu. Halafu kama ujerumani isingeshindwa vita ya kwanza mambo yangeweza kuwa tofauti sana Tanganyika.

Wajerumani wapo vizuri sana na mimi naamani kama Tanganyika ingejifungamanisha na ujerumani baada ya kupata uhuru kama Namibia walivyofanya tungekuwa mbali sana kiuchumi..
 
Kuna baadhi ya nchi, mawaziri wakuu wanakuwa na nguvu zaidi kuliko maraisi wao; sijui hii imekaaje, Mfano; Ujerumani, Israel, India n.k.

Utakuta marais hawavumi kabisa, na inawezekana hawafahamiki; hii ni kwanini?​
 
Kuna baadhi ya nchi, mawaziri wakuu wanakuwa na nguvu zaidi kuliko maraisi wao; sijui hii imekaaje, Mfano; Ujerumani, Israel, India n.k
Utakuta marais hawavumi kabisa, na inawezekana hawafahamiki; hii ni kwanini?​
Katiba zao.
 
Rais wa Ujerumani anapokuja kututumbelea tumkumbushe ukoloni wao ulikuwa wa hovyo sana tofauti na wakoloni wengine.

Makolini ya Ujerumani hayakuweza hata kurithi angalu lugha yao ya Kijerumani. Hakuna hata koloni moja la Ujerumani ambalo raia wake wanazungumza Kijerumani! Afadhali hata katika makoloni mengine waliambulia angalau lugha za wakoloni wao ambao leo wanaweza kuzungumza nao vizuri kwa ufasaha.
Shule ni neno la kijerumani, heller (hela) alikua mtawala wa ujerumani aliyechorwa kwenye pesa yao ambayo bi kidude alitumia,ukipanda treni mkumbuke mjerumani,katani,kahawa,pamba,tumbaku ni kazi ya mjerumani ..wakoloni wengine walifuata athari za mjerumani
 
Bora ujerumani ila waliacha kabisa lakini syo ufaransa ase,west africa watu wake wanateketea kwasababu ya dhuruma zake mpaka leo kwa nchi za kiafrica.

Can you imagine nchi iliyoendelea kama France inataka gawio la kodi za wananchi wa nchi za africa mpaka leo?.

Huwa najiuliza kwanini Mungu huwa hatoi adhabu mubashara kwa hii nchi ya kidhurumati?

Anyway, mh.samia mwambie mgeni wako lile fuvu la mkwawa syo lenyewe,mwambie tunataka fuvu letu og.
 
Uthibitisho wa ufaransa kutaka gawio
 
Rais wa Ujerumani anapokuja kututumbelea tumkumbushe ukoloni wao ulikuwa wa hovyo sana tofauti na wakoloni wengine.

Makolini ya Ujerumani hayakuweza hata kurithi angalu lugha yao ya Kijerumani. Hakuna hata koloni moja la Ujerumani ambalo raia wake wanazungumza Kijerumani!

Afadhali hata katika makoloni mengine waliambulia angalau lugha za wakoloni wao ambao leo wanaweza kuzungumza nao vizuri kwa ufasaha.
Hoja kwamba kuna ukoloni mzuri na mbaya ni mufilisi.

Zaidi, Wajerumani walipigwa katika vita ya kwanza ya dunia, wakanyang'anywa makoloni na kushurutishwa kulipa nchi za Ulaya

Nenda kasome historia na Mkataba wa Versailles.

Rais wa Ujerumani anapokuja kututumbelea tumkumbushe ukoloni wao ulikuwa wa hovyo sana tofauti na wakoloni wengine.

Makolini ya Ujerumani hayakuweza hata kurithi angalu lugha yao ya Kijerumani. Hakuna hata koloni moja la Ujerumani ambalo raia wake wanazungumza Kijerumani!

Afadhali hata katika makoloni mengine waliambulia angalau lugha za wakoloni wao ambao leo wanaweza kuzungumza nao vizuri kwa ufasaha.
Ulipaswa kushukuru sana wajerumani kushindwa kutawala fikra zako, za kizazi chako na za jamii yako kuliko hivi unavo lalamika ungetawaliwa.

Ulitaka uwe kama Afrika magharibi kwa ufaransa ?
 
Hakuna mkoloni mwema hebu tuache kujifariji,, mjerumani aliua watanganyika wengi San San San

Vita vya maji maji mamia ya watu walipoteza maisha

Vita vya mkwawa mamia ya watu walipoteza maisha

Vita vya akina isike mamia walipoteza maisha

Vita vya akina mtemi mirambo

Afu mtu anasimamisha mishipa ya shingo eti Bora mjerumani

Mamayo!
 
Wakoloni wote ni mambwa daeq zao,,,,hata haya maarabu na haya mangereza yote mambwa bora tungetawaliwa na wamasai tu.
Wametuletea, dini zao zinatutesa mpaka sasa
Mfumo wa elimu unatutesa mpaka sasa,
Mfumo wa uongozi unatutesa mpaka sasa,
Wamepoteza historia ya mwafrica,
Leo hii myu unajikuta unaijua historia ya wana waisraeli kuliko ya wana wakichaga,
Leo hii tunaotwa mara akina god,mara joseph mara suleiman mara emanuel mara grace, mara mariam, hakuna hata mmoja alie na jina la aisili la kiafrika.
 
Rais wa Ujerumani anapokuja kututumbelea tumkumbushe ukoloni wao ulikuwa wa hovyo sana tofauti na wakoloni wengine.

Makolini ya Ujerumani hayakuweza hata kurithi angalu lugha yao ya Kijerumani. Hakuna hata koloni moja la Ujerumani ambalo raia wake wanazungumza Kijerumani!

Afadhali hata katika makoloni mengine waliambulia angalau lugha za wakoloni wao ambao leo wanaweza kuzungumza nao vizuri kwa ufasaha.

Mkuu hakuna utumwa au ukoloni wa afadhali au mzuri, wote ni uharibifu na uangamifu wa maisha!
 
Wakoloni wote ni mambwa daeq zao,,,,hata haya maarabu na haya mangereza yote mambwa bora tungetawaliwa na wamasai tu.
Wametuletea, dini zao zinatutesa mpaka sasa
Mfumo wa elimu unatutesa mpaka sasa,
Mfumo wa uongozi unatutesa mpaka sasa,
Wamepoteza historia ya mwafrica,
Leo hii myu unajikuta unaijua historia ya wana waisraeli kuliko ya wana wakichaga,
Leo hii tunaotwa mara akina god,mara joseph mara suleiman mara emanuel mara grace, mara mariam, hakuna hata mmoja alie na jina la aisili la kiafrika.
Amen
 
Back
Top Bottom