Uko wapi Wimbo wa Taifa wa Tanganyika?

Natoa ushauri wa bure kwa
makampuni ya simu kuweka wimbo wa Tanganyika kulipiwa kama nyimbo
nyingine za wasanii na mapato yapelekwe moja kwa moja serikalini tuna
hamu nao sana.
(Kuupata wimbo huu wa Taifa la Tanganyika bonyeza ** utakuwa
wakwako)

** oky,

mkuu mbona nimebonyeza lakina sijaupata?
 
Habari zenu ndugu zangu, pole na majukumu ya kila siku, tafadhalini nina shida ambayo naamini naweza saidiwa humu jamvini, ninahitaji kujua ilikuaje tarehe 9 dec 1961, siku ya uhuru wetu sisi watanganyika, je uliimbwa wimbo wa Taifa la Tanganyika ? na kama ulikuwepo kuna mtu yoyote anaweza nisaidia hata verses zake hapa JF? najiona nisie na Nchi kwani siijui wimbo wa Taifa langu na pia hata bendera ya Taifa siioni ikipandishwa. Nisaidiene mistari ya nyimbo kama bado inakumbukwa.

mtakua mmenisaidia sana.

Asante sana na pia Mungu ibarikiTanganyika.

NAWASILISHA.


Wimbo wa taifa ni huu tunaoimba sasa
MUNGU IBARIKI AFRICA ilikuwepo ila ubti wa
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA sasa TANZANIA maneno mengine yote yalibaki kama kawaida
 
habari zenu ndugu zangu, pole na majukumu ya kila siku, tafadhalini nina shida ambayo naamini naweza saidiwa humu jamvini, ninahitaji kujua ilikuaje tarehe 9 dec 1961, siku ya uhuru wetu sisi watanganyika, je uliimbwa wimbo wa taifa la tanganyika ? Na kama ulikuwepo kuna mtu yoyote anaweza nisaidia hata verses zake hapa jf? Najiona nisie na nchi kwani siijui wimbo wa taifa langu na pia hata bendera ya taifa siioni ikipandishwa. Nisaidiene mistari ya nyimbo kama bado inakumbukwa.

Mtakua mmenisaidia sana.

Asante sana na pia mungu ibarikitanganyika.

Nawasilisha.

kama unajua wimbo wa baba yako wa kambo basi ondoa neno tanzania weka jina tanganyika huo ndio wimbo wa biological father wako.
 
kkkkkkkkkk GodSaveTheQueen_001.jpg GodSaveTheQueen_002.jpg
 
Back
Top Bottom