CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
- Thread starter
-
- #21
WJ malechela kwenye JF politics. forum amabayo inakuwa moderated . Ni Diwani au mwenyekiti wa mtaa wa wapi huyu?
Relating one ID with another is 'Name Calling' and according to our JF rules - that is completely unacceptable.Nilishawahi ku mp Field Marshall ES,ila hakujibu,nilimwoba arudi humu,nasikia yeye ndiye William,i am not sure.But i regarded FMES as my JF compatriote and a friend.
Relating one ID with another is 'Name Calling' and according to our JF rules - that is completely unacceptable.
This link here below will guide you on what you should or shouldnt post in JF.
https://www.jamiiforums.com/complaint...ums-rules.html
And please; no one is going to give you any explanation on any user ID here on JF, keep that in mind.
Huyu ni mwanahisa mkuu wa JF kama kampuni............na kama member ni mbishi sana...pamoja na FMES
Na myaka a huyo jamaa @ NY city na siasa zake zenye utata. Amekuwa anaonekana ni CCM mtaka mabadiliko. Lakini aliwai kuulizwa angekutana na JK. JK akamuuliza anamshauri nini akifanye ili CCM ilirudi kwenye mstari. Akajibu akasema atamwmabia JK tatizo la tanzania ni SHERIA.
Basi nikamwambia @ Newyork City Watu waliomzunguka JK hawana tofauti na yeye.
Ukichanganya ile issue ya utabiri wa chenge na ile watu wasio na huruma walivyoshambulia alivyowasilisha habari za maendeleo ya afya ya Mzee S . Malechela allivyokuwa US hata ningekuwa mm ingebidi nipumzike
Mzee wa meli,baharia.mzee wa the Datazi.kumpiga nyani gilian,mchana kweupe.bwah bwah bwah.Mukulu nimemiss michango yako
Duh....hata gamba mwenzio?