Uko wapi.....Nikufate

Namtafuta my husband....tangu aondoke hadi leo hajarejea
bustani inahitaji umwagiliaji maana ukame wakausha mazao

dedication when I need you by Celine Dion

Umenikumbusha mbali. Hadi nimevuta feelings na kuingia ulimwengu wa Mapenzi nikaanza imba wimbo huu kimoyo moyo.

So excited.
 
Bin 3ammi.... akhui nimerudi uashukuru kuniuliza na kunijaali.... Mashughili ya kidunia ndo yaliniondoa mtandaoni !! ntachangia soon !! Allah akuhifadhi na kukulinda.AMIN

Amin akhii, kama uko salama na afya njema basi ndio dua yangu kwako
 
Hivi Lady Masa yuko wapi jamani,nimemmiss huyu mchumba wangu
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha mbali. Hadi nimevuta feelings na kuingia ulimwengu wa Mapenzi nikaanza imba wimbo huu kimoyo moyo.

So excited.

umeona enheee.............nimekumiss sana tu
ukiwa unausikiliza uwe unamkumbuka HOE basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…