usijali..vitendea kazi utakavyo vyote vitapatikana
iyo sio asasi ya kipesa,ya mioyo hiyo..
ijumaa?..:tape::tape:
mimisa hivi mwananthropolojia bado hajapatikana
vigezo na masharti kuzingatiwa
Heaven on earth hili baragumu hujalisikia? wana CC wote tunatakiwa kumtafuta mumewe na mimisammh ni huyu huyu Kaizer au
hajapatikana..sijui ni kitu gani kimempata
nimetoa taarifa polisi pia ..waapi
Heaven on earth hili baragumu hujalisikia? wana CC wote tunatakiwa kumtafuta mumewe na mimisa
ngoja niendelee kumsaka hum ndani labda nitampata,
kila anaeingia lazima akagiliwe,shem 2angu mwananthropolojia kokote
ulipo kama unasikia hili la mkeo mimisa jitokeze
Sasa wewe kama mheshimiwa m/kiti unaokoaje hili jahazi?Taarifa ninazo sema tu mimisa mbishi na hataki kuelewa. Tangu awali nilimpa angalizo akang'ang'ania ndoa nikasema haya bwana wasijepata pa kuanzia akina Nivea kuwa mwenyekiti sijui nini na nini... yule mwananthropolojia ni em twente thrii yule.. tena naskia ni binamu yake na yule kimbaumbau I WILL HIT YOU..
Hapo sawa...meza ya mazungumzo ianze kaziashazipata tayari
asante bestito