Tafuta tu mwingine, huyo haezi rudi kamwe,,, huko alipo enda n mbali mnoo
Toka uniage unaenda kwa safari ya kikazi,ni miezi imepita:
Uko wapi nikufate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu itulie..
Nakukosa sana mwananthropolojia wangu..
kamtafute toilet sio forum!
Mara zote mimi huwa mkweli na huwatakia watu mema daima..
hujapona tu kumbe?
Mmmmh..basi sawa huo mpango nitausitisha!ni dogodogo wake alafu wote ma celebrtity...af wanaitana baby