Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #81
Kasie maneno mengi sasa yananipiga usoni. 😂😆
Hebu andika maneno yalio nyooka yani straight
Aahahahahahahhaaa
Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...😅
Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% 😂
Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....😄😄😄

