Apo lufungila auPiiiipooozzzzz.....!!!!
Mie niko Calabash
Napiga Savanna kama nanawa sanitaizaaaa
Cheers everyone but take care, the shit is real.
Kasie Matata.


Nipo home nimeinamisha kichwa kwenye sufuria lenye mchanganyiko wa kikemia nikijivukiza...
Corona mpya ipo ndugu zangu kuweni makini!
Msipendelee vitu vya sukarisukari
Mama yeyooooo kwaniii dunia ni yetuuuu ?
Niko iringa do boscoPiiiipooozzzzz.....!!!!
Mie niko Calabash
Napiga Savanna kama nanawa sanitaizaaaa 😜😜😜😅😅
Cheers everyone but take care, the shit is real 😉.
Kasie Matata.
Tatizo n kudhungu, kinanisumbua mm jamani😁Let’s share the chat...💭
One moment at a time.
Kasie maneno mengi sasa yananipiga usoni. 😂😆Great if ypu are enjoying yourself.
Up here crearing stamina for tacking ‘rona.
Take care 😉.
Kumekucha 😆😂Lock down gani tena jamnView attachment 1689510

Npo mzumbe hapaaaa .....nakula .....boom la HELSB....![]()
Niko Mzumbe nakomaa na cozwek zangu hapa
𝔹𝕒𝕔 𝕦𝕛𝕖 𝕟𝕒 𝕊𝕙𝕖𝕞 .....mkuuMkuu hapo mzumbe cy mbali, nisuprise bc na kanyama choma hapo nje ya geti la chuo![]()


