Uko wapi na hii lock down bubu....!?

Vya bure vinagharama jamani๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, ko unga? Sabuni? Nakupasi kupo๐Ÿคช, hiv kama amejitoa kunigharamia starehe ya nyama choma na kamilinda pembeni, kweli atashindwa kasabuni๐Ÿ˜, jokes tu jmn. Ila kanipa sharti gumu la kwenda na baby mama wangu na sina cjui nikodi tu sehemu but after leo tubaki kama awali๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ndo ujiongezeee...!
 
Kwishney...๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Malikia atakuwa aliweka na kauchawi ili tusiwe tunaielewa vzr๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, haiwezekani ukiwa unaongea kimoyo moyo kinanyoka vzr ila ukisema ngoja niongee wengne wasikie, mama weeeeeee kinapotea chote kiingilishi๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Aahahahahahahhaaa

Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...๐Ÿ˜…

Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% ๐Ÿ˜‚

Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Ni wazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
 
Aahahahahahahhaaa

Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...

Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98%

Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....
Pombe niliyokunywa Jana yani kila thread nilikua naacha comment ..hii pombe hii
Nilikua hyper kinoma hata sijui kwangu nimefikaje ...! Wkend inaendelea Tule chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe niliyokunywa Jana yani kila thread nilikua naacha comment ..hii pombe hii
Nilikua hyper kinoma hata sijui kwangu nimefikaje ...! Wkend inaendelea Tule chombo

Sent using Jamii Forums mobile app


Duuh polee...

Mie nimekuja kujiloweka bahari beach huku hili joto sijui ndo lina sambaza โ€˜rona....!!!!?
 
Nipo Sea Cliff.. pamechangamka sana naona wazungu wamejazana na wala hawana barakoa!!


Nakujaa...๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom