Uko wapi mrembo?

Uko wapi mrembo?

.......Sasa mkuu ukianza kutmani wawiliwawili italeta shida.....hebu twende na huyu Amehlo tuone kama tutafika sehemu.....angalizo: we umezungumzia iphone ila nimeona yeye kama katamka kitu kizito kidogo IST, au ni International Schools of Tanganyika.....
Kanapenda hela hata kakiwashwa ukikakuna na kucha miwasho haiiishi ila ngoja ukanune na wekundu wa msimbazi miwasho inakata😃
 
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ndio ninapokupendeaga,huishiwi jambo
Ni ukweli yupo Dar Kwa Sasa sawa ila anakujaga kumsalimia mkewe na hapo nilipo panga juu kidogo ndio kwakwe nimemjua kupitia Facebook aliposema alipo tu basii nikamwogopa ila huyu jamaa ni gentlemen na anaheshima sana .
Zaidi ya huko Facebook sijawahi muona karibu ni siku Moja tu alipokuwa anatoka na gari yake home na mkewe na watoto wakuwa warefu kama yeye watoto wake wawili wameoa na mmoja kaolewa huyu mdogo anamalizia chuo sio mdogo huyu ila ukimtaka mtajuana ila anaringa sana kabisa
 
Kumbe ana watoto wa chuo?si mbabu Sasa huyu?
 
ha ha ha nimecheka sana; pata kvant kwa gharama ya mfuko wako
 
Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!

Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.

Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.

Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-​

View attachment 2544936

Uko wapi mrembo?
tafuta hela afu uje
 
Back
Top Bottom