Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,625
- 65,097
Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-

Uko wapi mrembo?