Uko wapi mrembo?

Uko wapi mrembo?

😀😀😀😅niache mie
😊😊 huyu Joanah anataka kukuibia tunda lako
Heee we ndio mpenzi wa kwanza kutamani chunusi!dunia Ina Mambo hii🤣🤣🤣
Haha kama unazo hata usiwaze. Wakati tuko bed tunapiga story mbili tatu za wema na diamond nakuwa nakutumbua chunusi😊
nitakuw nakunyoa kila siku ili utokee vipele😬 nikutumbue

so romantic😃
 
.....zungumza nae vizuri mkuu, you never know pengine na yeye anakufeel mkajikuta mna-make it!!......
Ana sauti nzuri kweli halafu ni kibonge mwepesi. Napenda vibonge ukimtekenya anacheka mpaka kamasi. Usoni ana vichunusi kwa kwel nampenda Amehlo wangu shida ana tamaa na vitu vidogo vidogo eti anataka iphon 12. Nimemwambia nina charge ya iPhone ghetto aje achukue ila miaka mitatu ikipita atapata iPhone 12. Hajui tu nina kiwanja chanika nasubiri kipande bei nikiuze

Ila hata Joanah ananielew sana tu akichezea bahati nahamisha mapenzi huko. Huyu nae ana vichunusi amazing pia. Sema vinaotaga tu wakati wa period 🤣🤣🤣
 
😊😊 huyu Joanah anataka kukuibia tunda lako

Haha kama unazo hata usiwaze. Wakati tuko bed tunapiga story mbili tatu za wema na diamond nakuwa nakutumbua chunusi😊
nitakuw nakunyoa kila siku ili utokee vipele😬 nikutumbue

so romantic😃
😂😂😂😂Umetisha sana
 
Leteni chai
chai ipo ila inaunguza mafizi ya moto kweli kwel
20230220_173625.jpg
 
Ana sauti nzuri kweli halafu ni kibonge mwepesi. Napenda vibonge ukimtekenya anacheka mpaka kamasi. Usoni ana vichunusi kwa kwel nampenda Amehlo wangu shida ana tamaa na vitu vidogo vidogo eti anataka iphon 12. Nimemwambia nina charge ya iPhone ghetto aje achukue ila miaka mitatu ikipita atapata iPhone 12. Hajui tu nina kiwanja chanika nasubiri kipande bei nikiuze

Ila hata Joanah ananielew sana tu akichezea bahati nahamisha mapenzi huko. Huyu nae ana vichunusi amazing pia. Sema vinaotaga tu wakati wa period 🤣🤣🤣
Iphone miaka 3 nikitaka kiji IST je
 
Iphone miaka 3 nikitaka kiji IST je
Nikinunua IST warombo wataniita mchawi kwa sababu hata babu yangu hajawah kuwa na gari. Mzee alikuw anaendesha guta mabibo 😃 kwa kipato changu inaonekana mjukuu wetu atakuw wa kwanza kununua gari kweny ukoo wetu.
 
Kaa kwa kutulia sasa
 
Ana sauti nzuri kweli halafu ni kibonge mwepesi. Napenda vibonge ukimtekenya anacheka mpaka kamasi. Usoni ana vichunusi kwa kwel nampenda Amehlo wangu shida ana tamaa na vitu vidogo vidogo eti anataka iphon 12. Nimemwambia nina charge ya iPhone ghetto aje achukue ila miaka mitatu ikipita atapata iPhone 12. Hajui tu nina kiwanja chanika nasubiri kipande bei nikiuze

Ila hata Joanah ananielew sana tu akichezea bahati nahamisha mapenzi huko. Huyu nae ana vichunusi amazing pia. Sema vinaotaga tu wakati wa period 🤣🤣🤣
.......Sasa mkuu ukianza kutmani wawiliwawili italeta shida.....hebu twende na huyu Amehlo tuone kama tutafika sehemu.....angalizo: we umezungumzia iphone ila nimeona yeye kama katamka kitu kizito kidogo IST, au ni International Schools of Tanganyika.....
 
Back
Top Bottom