Uko wapi mrembo?

Uko wapi mrembo?

Wikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!

Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.

Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.

Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-​

View attachment 2544936

Uko wapi mrembo?
Yuko kweny mkesha wa maombi.
 
......duuh mkuu hivi hawa wa hivi wapo kweli au hizi ni edited images....tunarushana roho....ukibahatika kupata kama kampani tu inatosha wikiendi yako itakua nzuri kwakweli....
Wapo mkuu, ila wengi wao sio wa kuoa; kampani tu, unamlipa chake maisha yanaendelea.
 
Mimi sina hela ila nampenda Amehlo nataka nimwandikie uzi kabisa. Nampataje huyu dada wakati hata PM kafunga 😬 Kuna mda hata aki like nyuzi za Equation x naona wivu. Nawaza sijui ana vichunusi usoni, coz usiku tukilala niwe namtumbua 😔 😊
.....zungumza nae vizuri mkuu, you never know pengine na yeye anakufeel mkajikuta mna-make it!!......
 
Kweli mnaenjoi maisha

Sisi enzi zetu hadi utume mshenga, ingawa tulikuwa tunapata Bikra tu 🤗
Hata kwa sasa bado hujachelewa; unaweza ukafurahia haya maisha, muhimu uwe tayari kuteketekeza angalau laki 5 kwa siku.
 
Back
Top Bottom