Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Anywe dawa za kuharisha kila weekend kwa mda wa miezi 3 akishindwa aende India akafanyiwe Oparation ya kuondoa mafuta Tumboni
 
Mwambie anipe namba ya simu yake nitamwambia nn chakufanya atafurahia hali yake wala haitamsumbua
 
Kule Uswizi watu wa aina ya Komba hawaruhusiwi na kama ni mgeni unafukuzwa urudi kwenu na minyama uzembe yako
 
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Si alikua kapten wa jeshi leo anaomba msaada wa kupunguza unene HII KALI.
 
komba labda asile siku tatu ndo atapungua uzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…