Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

apunguze ama aache kabisa kulala bungeni,ajishughulishe kwa kusikiliza na kuchangia ktk hoja mbalimbali zinazotolewa... Hilo litamsaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza unene