Ukizeeka unataka kuwa nani?

Binadamu wanavyozidi kunikera nafikiria kuwa mshirikina ili nisiwe napata maumivu ya nafsi pindi wajingawajinga wakisumbua. Kama yule mkuu wa shirikisho la futibumbu ningekuwa mshirikina ningekuwa namtumia nyuki kila atakapoongelea masuala ya mpira au kila atakapokaribia mazingira ya ofisi.

Ni mkuu wa shirikisho pekee. Hao wakuu wengine kama Ney na Madiiiiiiii sihusiki nao.

Msinitafute, nimekamatika kuliko Jafary Koppa.
 
kuwa mtu mzima unakuwa na nguvu na fedha, lakini unakuwa huna muda. Na ukiwa mzee unakuwa na muda na uzoefu, credit by amka mtanzania
 
Playing pc games and enjoying kodi za nyumba tu ...and writing tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…