Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

Arusha basic needs kama chakula na nyumba ni very cheap. Huwezi fananisha bei ya nyanya soko kuu arusha na kariakoo. Kariakoo ni bei ghali saanna. Pia nyumba ya kupanga say ya 250,000 njiro / moshono ikiwa mahali kama sinza kwa dar utalipa 400,000.

Arusha vitu ambavyo ni bei ghali ni manufuctured good. Mfano simu, computer, nguo e.t.c. ambavyo unanunua mara chache. Lakini basi need ya chakula na housing arusha is far way cheaper than dsm.

Nimeishi sinza na sasa naishi moshono arusha. I feel the difference.
 
WEWE NI LIMBUKENI WA MAISHA...ila pia hongera kwa kummega mtoto Sky Eclat usiku kucha.

Anyway. Mkuu, watu tumeishi na kusurvive Nairobi...huna ndugu, huna rafiki, unalala nje...kwenye vibaraza, ila ukiamka ni mwendo wa suti na tai. The same happened in Mombosa, Mwanza na Cairo misri. WHAT IS ARUSHA? I can survive and lieve anywahere.

I can make life anywhere..hii ndio faida pekee ya kupigika na kujifunza mengi.
 
Arusha ni pangumu kama huna connection na wajanja wa kupiga hela, inabidi uwe mtu wa kujichanganya sana, Arusha unaweza kuona kijana anatembea na mabulugutu ya hela kwenye gari unabaki unajiuliza watu wanazipatia wapi
 
WEWE NI LIMBUKENI WA MAISHA...ila pia hongera kwa kummega mtoto Sky Eclat usiku kucha.

Anyway. Mkuu, watu tumeishi na kusurvive Nairobi...huna ndugu, huna rafiki, unalala nje...kwenye vibaraza, ila ukiamka ni mwendo wa suti na tai. The same happened in Mombosa, Mwanza na Cairo misri. WHAT IS ARUSHA? I can survive and lieve anywahere.

I can make life anywhere..hii ndio faida pekee ya kupigika na kujifunza mengi.
Huko nairobi ulishi kama chokoraa,ulikuwa unalala mtaa gani,pole umepitia maisha matata sana,hali ya hewa ya nairobi sio rafiki kwa kulala mtaani.
 
Maisha ni mipango ndugu na sio sababu ya kuwa sehem flan utafanikiwa na sehemu ingine hufanikiwi.. iwapo utajua ni nini unakihitaji katika kubadilisha maisha yako na ukakikazia hakika utafanikiwa haijalishi uko mkoa gani au nchi gani..nimeishi Arusha miaka ya kutosha lakini kitu kikubwa kilichofanya nisiupende huo mji ni kwamba wakaazi wengi na watu wanaofanikiwa hapo wanapenda Sana dhuruma, shortcut na pia wanaabudu Sana fedha pia wengi wa vijana hapo ni wezi na baadhi yao walipata kuwa rafiki zangu pasipo mimi kujua kuwa kumbe kuna mishe za ziada wanafanya kujiongezea kipato..hata baadhi ya wazazi wanatambua kabisa Kijana wetu ni mpigaji lakini akirudi na pesa wanamuona kama jasiri na kumpa heshima zote..nalisema hili kwa uhakika maana rafiki yangu mmoja alikuwa ananihadithia siku walipowekewa mtego wa kuuwawa yeye na kaka yake lakini walinusurika..kumbuka hapa kaka mtu na mdogo mtu wote majambazi na wazazi wao wanajua na nilipomdadisi akanambia usione dingi yangu anamali zote hizo na yeye pia alikuwa mpigaji kwenye ujana wake..yapo mengi na sna kuhusu maisha ya Arusha bila kusahau kugeukwa na rafiki yako wakati mnafanya dili Yan anakugeuka na kukuuza bila huruma kabisa.. mnisamehe ntakaokuwa nimewakwaza lakini hiyo ndo experience yangu ya kuwa Arusha. Ndo maana hata wazungu wengi sana wameshalizwa hasa pale walipojaribu kushilikiana na wakazi wa Arusha, ninawajua wazungu zaidi ya 3 ambao pia nimarafiki zangu waliogeukwa na watu wa Arusha na kuwazunguka ili wao ndo wawe wamiliki wa kila kitu. Nina mengi Sana kuhusu huo mji nashukuru Mungu niliweza kutoka huko baada ya dhamira yangu kunisuta juu ya mwenendo wa kimaisha kiujumla na nikachukua maamuzi ya kuhama huko na ndipo niliweza kuona mwanga katika maisha yangu kwa sasa nimebaki kama Mtalii kuitembelea Arusha
Umeongea ukweli...pale ni home so hujaongopa!

Cc. Alex Masawe, Tolu, Janjaaa
 
Mtoa mada unamaanisha Arusha maisha ni magumu sana kiasi kwamba ukiyaweza hapo hushindwi popote?
Sasa mji kuwa na maisha magumu ina maana kuna fursa chache, sasa hilo ni jambo la kujivunia?
 
Tanzania kunaaina tofauti sana ya maisha Miji kama Arusha unakuwa unapiga ujanja wa mjini na udalalidalali na mzunguko wa pesa unaruhusu. Ila sehemu nyingi mzunguko wa pesa ni mdogo sana huwezi piga dili za hivyo. Njia pekee ya kuishi ni kushika Jembe. Labda kama unazungumzia waajiriwa ambao kipato chao ni constant haijalisho ulo wapi.
 
Huko nairobi ulishi kama chokoraa,ulikuwa unalala mtaa gani,pole umepitia maisha matata sana,hali ya hewa ya nairobi sio rafiki kwa kulala mtaani.
Nilikuwa kariobangi, and I dated the most intelligent kikuyu girl...her company alongside my pastor (congolese) inspired my career. I am a devil to what I do now, I am super. very super...only bcoz those 2 people saw my potential.
 
Back
Top Bottom