Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana .

Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada.

Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko.
ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa na wingi wawageni toka nje ya nchi, wanaokuja kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo kutazama wamasai(jokes) na mbuga za wanyama.

Nimeishi mikoa karibia mingi hapa tizo isipokuwa mikoa miwili tu ikiwa ni Ruvuma na Kagera Kiukweli kama umeshawahi kukaa Arusha ukafika tu ukiwa hauna chochote na ukaweza ku toboa na ukaweza ku maintain life ya pale basi ujue hakuna mkoa utashindwa ku survive ,huu ni mtazamo wangu na utafiti wangu mdogo ,sijui kwa nyie wenzangu mnasemaje japo wengi walisema
Ukiweza kuishi dar hamna mkoa utashindwa kuishi mimi niliwakatali kabisa .ama kwa hakika Arusha maisha yako juu kuliko pengine ,sio kwa chakula ,gharama za nyumba na hata mahitaji mengine ya muhimu hii nikutokana na kuwa ni jiji la utalii ,watu kuuza bidhaa kama wanawauzia wazungu.

Nawasilisha.
" AKUNA " mahali utashindwa kuishi ~~~, ni kama kiswahili cha darasa la pili akuna maana yake ni kujisugua kama unawashwa.Sasa" kujikuna" mahali labda mwilini itahusikaje na kushindwa kuishi??.Kichwa cha habari hakieleweki.
 
Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana .

Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada.

Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko.
ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa na wingi wawageni toka nje ya nchi, wanaokuja kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo kutazama wamasai(jokes) na mbuga za wanyama.

Nimeishi mikoa karibia mingi hapa tizo isipokuwa mikoa miwili tu ikiwa ni Ruvuma na Kagera Kiukweli kama umeshawahi kukaa Arusha ukafika tu ukiwa hauna chochote na ukaweza ku toboa na ukaweza ku maintain life ya pale basi ujue hakuna mkoa utashindwa ku survive ,huu ni mtazamo wangu na utafiti wangu mdogo ,sijui kwa nyie wenzangu mnasemaje japo wengi walisema
Ukiweza kuishi dar hamna mkoa utashindwa kuishi mimi niliwakatali kabisa .ama kwa hakika Arusha maisha yako juu kuliko pengine ,sio kwa chakula ,gharama za nyumba na hata mahitaji mengine ya muhimu hii nikutokana na kuwa ni jiji la utalii ,watu kuuza bidhaa kama wanawauzia wazungu.

Nawasilisha.
Arusha tisa, Kumi Iringa. Ukitoboa kuishi Iringa utaishi mkoa wowote Tz. Dar mbona maisha easy sana!!
 
Naunga mkono hoja nipo na wiki ya tatu apa Chuga-Mianzini , Maisha ya apa ni ghari, Upatikanaji wa msosi ni Mkubwa but unashangaa bei ni ya juu mno
 
Back
Top Bottom