Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,233
1,191
Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana .

Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada.

Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko.
ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa na wingi wawageni toka nje ya nchi, wanaokuja kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo kutazama wamasai(jokes) na mbuga za wanyama.

Nimeishi mikoa karibia mingi hapa tizo isipokuwa mikoa miwili tu ikiwa ni Ruvuma na Kagera Kiukweli kama umeshawahi kukaa Arusha ukafika tu ukiwa hauna chochote na ukaweza ku toboa na ukaweza ku maintain life ya pale basi ujue hakuna mkoa utashindwa ku survive ,huu ni mtazamo wangu na utafiti wangu mdogo ,sijui kwa nyie wenzangu mnasemaje japo wengi walisema
Ukiweza kuishi dar hamna mkoa utashindwa kuishi mimi niliwakatali kabisa .ama kwa hakika Arusha maisha yako juu kuliko pengine ,sio kwa chakula ,gharama za nyumba na hata mahitaji mengine ya muhimu hii nikutokana na kuwa ni jiji la utalii ,watu kuuza bidhaa kama wanawauzia wazungu.

Nawasilisha.
 
Huu ni ukweli usiopingika.

Arusha ni mji ambao kuna maisha ya juu sana kupita mji wowote East Africa,na nasema hivi nikiwa na evidence+experience ya kutosha.

Nimezaliwa Nairobi na nimeishi na kwasasa na link na watu wa Nairobi katika shughuli zangu za kila siku japo siishi huko,Arusha is another level in term of life and activities japo kwa sasa ni jiji linalotaka kusahaulika kwasababu za kisiasa.
 
Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana .

Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada.

Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko.
ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa na wingi wawageni toka nje ya nchi, wanaokuja kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo kutazama wamasai(jokes) na mbuga za wanyama.

Nimeishi mikoa karibia mingi hapa tizo isipokuwa mikoa miwili tu ikiwa ni Ruvuma na Kagera Kiukweli kama umeshawahi kukaa Arusha ukafika tu ukiwa hauna chochote na ukaweza ku toboa na ukaweza ku maintain life ya pale basi ujue hakuna mkoa utashindwa ku survive ,huu ni mtazamo wangu na utafiti wangu mdogo ,sijui kwa nyie wenzangu mnasemaje japo wengi walisema
Ukiweza kuishi dar hamna mkoa utashindwa kuishi mimi niliwakatali kabisa .ama kwa hakika Arusha maisha yako juu kuliko pengine ,sio kwa chakula ,gharama za nyumba na hata mahitaji mengine ya muhimu hii nikutokana na kuwa ni jiji la utalii ,watu kuuza bidhaa kama wanawauzia wazungu.

Nawasilisha.

Maisha ni mipango ndugu na sio sababu ya kuwa sehem flan utafanikiwa na sehemu ingine hufanikiwi.. iwapo utajua ni nini unakihitaji katika kubadilisha maisha yako na ukakikazia hakika utafanikiwa haijalishi uko mkoa gani au nchi gani..nimeishi Arusha miaka ya kutosha lakini kitu kikubwa kilichofanya nisiupende huo mji ni kwamba wakaazi wengi na watu wanaofanikiwa hapo wanapenda Sana dhuruma, shortcut na pia wanaabudu Sana fedha pia wengi wa vijana hapo ni wezi na baadhi yao walipata kuwa rafiki zangu pasipo mimi kujua kuwa kumbe kuna mishe za ziada wanafanya kujiongezea kipato..hata baadhi ya wazazi wanatambua kabisa Kijana wetu ni mpigaji lakini akirudi na pesa wanamuona kama jasiri na kumpa heshima zote..nalisema hili kwa uhakika maana rafiki yangu mmoja alikuwa ananihadithia siku walipowekewa mtego wa kuuwawa yeye na kaka yake lakini walinusurika..kumbuka hapa kaka mtu na mdogo mtu wote majambazi na wazazi wao wanajua na nilipomdadisi akanambia usione dingi yangu anamali zote hizo na yeye pia alikuwa mpigaji kwenye ujana wake..yapo mengi na sna kuhusu maisha ya Arusha bila kusahau kugeukwa na rafiki yako wakati mnafanya dili Yan anakugeuka na kukuuza bila huruma kabisa.. mnisamehe ntakaokuwa nimewakwaza lakini hiyo ndo experience yangu ya kuwa Arusha. Ndo maana hata wazungu wengi sana wameshalizwa hasa pale walipojaribu kushilikiana na wakazi wa Arusha, ninawajua wazungu zaidi ya 3 ambao pia nimarafiki zangu waliogeukwa na watu wa Arusha na kuwazunguka ili wao ndo wawe wamiliki wa kila kitu. Nina mengi Sana kuhusu huo mji nashukuru Mungu niliweza kutoka huko baada ya dhamira yangu kunisuta juu ya mwenendo wa kimaisha kiujumla na nikachukua maamuzi ya kuhama huko na ndipo niliweza kuona mwanga katika maisha yangu kwa sasa nimebaki kama Mtalii kuitembelea Arusha
 
Ulishawahi kuishi Dodoma mkuu.?
Nikiwahi kuishi Dodoma nilichokiona huko ni ukame.

85% ya chakula cha Dodoma hutoka mikoani na hii ni kwasababu ya ukame ukiopo pamoja na aridhi kutokuwa rafika na mazao ya chakula,Dodoma hawawezi kujilimia vyakula vyao na hii husababisha mkoa ule kuwa na gharama kubwa za chakula,mfano Nyanya,Vitunguu,Maharage,Mahindi nk,mazao haya hutoka mikoani na hili ni tatizo kubwa sana.

Tofauti kubwa na Arusha ambayo huweza kujilimia vitu vingi na aridhi kuwa rafiki kwa mazao ya chakula lkn bado maisha yapo juu na sababu kubwa ni Utalii na Madini,in term of chakula sio ghali sana kama ni wa kwenda sokoni na kujinunulia mahita utajikuta mambo yanakwenda vizuri,lkn kama ni kuingia kwenye migahawa lzm utapigika tuu na pia Arusha huwa kuna maeneo ambayo kwaajili ya watu wa chini,wa kati na wa juu,tofauti kidogo na Dodoma ambayo wakazi wake wengi ni wa hali ya chini.

Na pia mwenyeji wa Dodoma ni mvivu au muoga wa kutumia matumizi makubwa na hii ni kutokana na kipato kuwa chini,tofauti na mwenyeji wa Arusha ambao wengi wao ni watu wa matumizi makubwa kutokana kuwa na kipato cha juu kupitia vyanzo vyao vikubwa yani Utalii na Madini.

Ni hayo tuu labda kama kuna mengine nitayaongeza.
 
Arusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.

Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.

Wadada classic who pay their own bills.

Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.

I just loved it.

Kinachonikera Arusha ni ubabe ubabe asee, tunaotumia daladala tunaona hali hii
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom