Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

Arusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.

Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.

Wadada classic who pay their own bills.

Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.

I just loved it.
nakazia
 
Maisha ni mipango ndugu na sio sababu ya kuwa sehem flan utafanikiwa na sehemu ingine hufanikiwi.. iwapo utajua ni nini unakihitaji katika kubadilisha maisha yako na ukakikazia hakika utafanikiwa haijalishi uko mkoa gani au nchi gani..nimeishi Arusha miaka ya kutosha lakini kitu kikubwa kilichofanya nisiupende huo mji ni kwamba wakaazi wengi na watu wanaofanikiwa hapo wanapenda Sana dhuruma, shortcut na pia wanaabudu Sana fedha pia wengi wa vijana hapo ni wezi na baadhi yao walipata kuwa rafiki zangu pasipo mimi kujua kuwa kumbe kuna mishe za ziada wanafanya kujiongezea kipato..hata baadhi ya wazazi wanatambua kabisa Kijana wetu ni mpigaji lakini akirudi na pesa wanamuona kama jasiri na kumpa heshima zote..nalisema hili kwa uhakika maana rafiki yangu mmoja alikuwa ananihadithia siku walipowekewa mtego wa kuuwawa yeye na kaka yake lakini walinusurika..kumbuka hapa kaka mtu na mdogo mtu wote majambazi na wazazi wao wanajua na nilipomdadisi akanambia usione dingi yangu anamali zote hizo na yeye pia alikuwa mpigaji kwenye ujana wake..yapo mengi na sna kuhusu maisha ya Arusha bila kusahau kugeukwa na rafiki yako wakati mnafanya dili Yan anakugeuka na kukuuza bila huruma kabisa.. mnisamehe ntakaokuwa nimewakwaza lakini hiyo ndo experience yangu ya kuwa Arusha. Ndo maana hata wazungu wengi sana wameshalizwa hasa pale walipojaribu kushilikiana na wakazi wa Arusha, ninawajua wazungu zaidi ya 3 ambao pia nimarafiki zangu waliogeukwa na watu wa Arusha na kuwazunguka ili wao ndo wawe wamiliki wa kila kitu. Nina mengi Sana kuhusu huo mji nashukuru Mungu niliweza kutoka huko baada ya dhamira yangu kunisuta juu ya mwenendo wa kimaisha kiujumla na nikachukua maamuzi ya kuhama huko na ndipo niliweza kuona mwanga katika maisha yangu kwa sasa nimebaki kama Mtalii kuitembelea Arusha
Sure watu wa Arusha hasa vijana ni wezi vibaka kupindukia
 
WEWE NI LIMBUKENI WA MAISHA...ila pia hongera kwa kummega mtoto Sky Eclat usiku kucha.

Anyway. Mkuu, watu tumeishi na kusurvive Nairobi...huna ndugu, huna rafiki, unalala nje...kwenye vibaraza, ila ukiamka ni mwendo wa suti na tai. The same happened in Mombosa, Mwanza na Cairo misri. WHAT IS ARUSHA? I can survive and lieve anywahere.

I can make life anywhere..hii ndio faida pekee ya kupigika na kujifunza mengi.

Nimeshakujua umepangisha apo karibu na club D karibu na garage
 
Arusha basic needs kama chakula na nyumba ni very cheap. Huwezi fananisha bei ya nyanya soko kuu arusha na kariakoo. Kariakoo ni bei ghali saanna. Pia nyumba ya kupanga say ya 250,000 njiro / moshono ikiwa mahali kama sinza kwa dar utalipa 400,000.

Arusha vitu ambavyo ni bei ghali ni manufuctured good. Mfano simu, computer, nguo e.t.c. ambavyo unanunua mara chache. Lakini basi need ya chakula na housing arusha is far way cheaper than dsm.

Nimeishi sinza na sasa naishi moshono arusha. I feel the difference.
Mkuu na Dar ina sehemu ambazo ni tofauti kama mbingu na ardhi. Dar ukiishi/kwenda kuafanya shoping maeneo ya Uswazi ni tofauti na anayenunua vitu Masaki. Halfu hilo eneo uliloishi (Sinza) gharama za maisha ziko juu.
 
Arusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.

Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.

Wadada classic who pay their own bills.

Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.

I just loved it.
unapajua matejoo,unga ltd,daraja mbili. je huko unapazungumziaje
 
Arusha ni mji wa maisha ya juu. Lakini ukuwa na mishe mishe zako hutajutia.

Gharama nilizotumia kuishi Arusha ni kubwa ukilinganisha na gharama nilizotumia nikiwa Dsm. Kwa wale wa Arusha watani-support kwa hili.
 
Arusha basic needs kama chakula na nyumba ni very cheap. Huwezi fananisha bei ya nyanya soko kuu arusha na kariakoo. Kariakoo ni bei ghali saanna. Pia nyumba ya kupanga say ya 250,000 njiro / moshono ikiwa mahali kama sinza kwa dar utalipa 400,000.

Arusha vitu ambavyo ni bei ghali ni manufuctured good. Mfano simu, computer, nguo e.t.c. ambavyo unanunua mara chache. Lakini basi need ya chakula na housing arusha is far way cheaper than dsm.

Nimeishi sinza na sasa naishi moshono arusha. I feel the difference.

Uo ndo ukweli mkuu nilio experience na mimi
 
Arusha patamu jamani. Hali ya hewa, nice people who mind their business.

Kuna class flani hivi nzuri, wakaka wazuri wazuri hawaongei matusi.

Wadada classic who pay their own bills.

Its a clean town, mipangilio ya mji ipo vizuri.

I just loved it.
Hahah huijui Ara' mdada eti nice people,wakaka wazuri hawana matusi hahah kuna sehemu kuna matusi nchi hii kama Chuga?

Wale kukusalimia wakaona hujajibu afu ukasikia unajifanya mjaaaanja wkt pedi imekaa upande ni kawaida yao tu,hahah

Karibu tena Arusha Mdafada, kwa fasi huku hatunaga paringi arifu.
 
Huu ni ukweli usiopingika.

Arusha ni mji ambao kuna maisha ya juu sana kupita mji wowote East Africa,na nasema hivi nikiwa na evidence+experience ya kutosha.

Nimezaliwa Nairobi na nimeishi na kwasasa na link na watu wa Nairobi katika shughuli zangu za kila siku japo siishi huko,Arusha is another level in term of life and activities japo kwa sasa ni jiji linalotaka kusahaulika kwasababu za kisiasa.
Si kweli nenda Kigali ndo utajua kule wanaishi majiwe tena yale ya kusugulia mawe,maisha ni expensive balaa Arusha sidhani hata kama imefika nusu ya ugumu wa maisha ya hio sehemu.
 
Back
Top Bottom