LoL...rest in Peace Dito.
ni kada mzuri wa CCM pengo lako kubwa, ulicheka na kila mtu hata sisi watu wa bara.
View attachment 1467
Rais Jakaya Kikwete akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, huko Kinyerezi Nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam leo.
Invisible...
line ya Mungu amfikishe panapostahili ingetosha kuwa mchango wako...
line ya Mwisho ya Hell...Haijatulia...pamoja na Baya la kuuwa either kwa kukusudia au bila kukusudia bado kwa kipindi alichokuwa hai alikuwa na Nafasi ya kutubia kwa MOLA wake!!! ... Mara nyingi tunaambiwa tukumbuke Mema ya Maiti zetu na kuwaombea DUA njema.
Dah Ben Saanane.Lakini jamani sisi ni binadamu.Alazwe pema peponi