Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,385
HUWA NAJIULIZAGA MSHAHARA WA MWANAMKE ANAYEFANYAKAZI HUWA UNAENDAGA WAPI? IKIWA HATOI HATA SENTI TANO
kisa kuchukua hela tu amuache???? hivi nyinyi ..wanawake wa kuwabadilisha mnawapata wap
Mueeleze ukweli hayo ni mapungufu ya kutoaminiana hata mke wangu alikuwa hivyo hvyo nikamchana live sasa hv ameacha
Wwanawake wadokozi Tanzania ni wapare tu? Acha kuonyesha ujinga wako kwa kila mtu.Toa akili ya Kikaoge hapa nani asiyefahamu kuhusu hao watu?
Halafu wewe embu kula tano, utafikiri ulikuwa kichwani mwangu!!! Like kibao.Kama hauko tayari kumuacha Fanya hivi.....
Kila ukirudi kutoka kazini mkabidhi ela akuhifadhie sio rahisi aibe coz amekabidhiwa yeye.... unajua MTU mchawi MPE mtoto akuleleee Alaf mwisho wa cku unazichukua unapeleka bank... Na ukikuta zimepungua una haki ya kumhoji coz ulimkabidhi yeye
Pole sana sana kaka. Nimesikitika pamoja nawe.... Inasikitisha sana kuwa una mke mdokozi ambaye anachomoa pesa toka mfuko wa kushoto na kuweka mfuko wa kulia ambao umetoboka....!!! So sad....!!!!Ninaishi na mke ambae hatujafunga ndoa yapata mwaka sasa, tulikubaliana kuishi kwanza kutokana na yeye kunitilia shaka kuwa huenda nikamchezea na kumuacha, make nilipanga kufunga ndoa 2018, jambo ambalo hakulikubali.
Yeye ni mfanyakazi na anao mshahara mzuri tu, namimi ni mfanyakazi pia, na katika mshahara wake sijawahi muuliza hata sijui anapata mshahara lini na matumizi yake sijui, ila tulikubaliana kuwa, kwa kuwa wanawake wanapenda sana fashion atumie mshahara wake kujinunulia nguo na vitu vya urembo anavyopenda.
Kilichofanya nitafute ushauri ni kuwa, tangu niishi na huyu mke kumekua na tabia ya upotevu wa pesa Mara kwa Mara ambapo kila nikiuliza wakati mwingine amekua na majibu ya sijui, hadi tukawa tunahisi ni maid ndo anaiba jambo ambalo kwangu nilikataa kwa sababu mbili.
moja, ni kuwa huyu binti wa kazi nimeishi nae hata kabla huyu mke hajaamua kuja kuishi na Mimi hivyo hakuna hata siku moja pamoja na mitego mingi niliyo mwekea, hajawahi kuiba hata chenji.
Pili, ufunguo wa droo anaejua ulipo ni Mimi na mke wangu.
Labda niseme, Mimi nje ya ajira yangu nina miradi kadhaa ambayo naiendesha ambayo kila siku baada ya kazi naitembelea kukusanya mapato na kutokana na mazingira wakati mwingine inabidi niwe na pesa ndani kabla sijazipeleka benki kwa kuwa huwa na nazipeleka Mara moja kwa wiki.
Na Mara nyingi nikiwa nimepeleka pesa benki lazima nikute zimepungua tofauti na makusanyo ninayoyajua na kila nikiuliza kama ajasingizia huyu maid basi ni chuma ulete ndo anahamisha pesa kimazingara.
Leo sasa, nimetoka kazini mda wa saa mbili ndo nimefika nyumbani nimemkuta ameshafika tayari tukasalimiana nikaenda chumbani kubadili nguo, nikiwa na kamkoba kangu nikaweka pesa kwenye droo nikachukua simu moja iliisha chaji nikaweka chaji.
Nikaondoka kwenda kupiga story mbili tatu na rafiki zangu kwenye baa ambayo ipo hapa jirani, kabla sijakaa nikakumbuka kuna mtu nilimuahidi kumpigia simu nikifika nyumbani na namba zake zilikua kwenye ile simu.
Nikarudi bila kutarajia nikamkuta amefungua droo na anazo pesa kiasi cha laki mbili mkononi.
Nikamuuliza unatafta nini? akajibu anabadilisha chenji, nikamuuliza hizo hapo mkononi ndo unabadilisha akasema ndiyo.
Nikawa na mashaka nikahesabu pesa zote kwa kuwa ndo makusanyo ya kwanza make asubuhi ndo nilipeleka benki hivyo najuwa mahesabu nilokuja nayo, baada ya kuhesabu nikakuta hamna laki mbili, nimeondoka nimemuacha ameduwaa sijajua cha kumfanya.
mke kama huyu jamani nimfanyeje?
Kama hauko tayari kumuacha Fanya hivi.....
Kila ukirudi kutoka kazini mkabidhi ela akuhifadhie sio rahisi aibe coz amekabidhiwa yeye.... unajua MTU mchawi MPE mtoto akuleleee Alaf mwisho wa cku unazichukua unapeleka bank... Na ukikuta zimepungua una haki ya kumhoji coz ulimkabidhi yeye
Mwoga tu huyo,hajui fate yake kwako.. Ukimuoa ataacha hiyo tabia kwani atakuwa haibi ila anachukua.Ninaishi na mke ambae hatujafunga ndoa yapata mwaka sasa, tulikubaliana kuishi kwanza kutokana na yeye kunitilia shaka kuwa huenda nikamchezea na kumuacha, make nilipanga kufunga ndoa 2018, jambo ambalo hakulikubali.
Yeye ni mfanyakazi na anao mshahara mzuri tu, namimi ni mfanyakazi pia, na katika mshahara wake sijawahi muuliza hata sijui anapata mshahara lini na matumizi yake sijui, ila tulikubaliana kuwa, kwa kuwa wanawake wanapenda sana fashion atumie mshahara wake kujinunulia nguo na vitu vya urembo anavyopenda.
Kilichofanya nitafute ushauri ni kuwa, tangu niishi na huyu mke kumekua na tabia ya upotevu wa pesa Mara kwa Mara ambapo kila nikiuliza wakati mwingine amekua na majibu ya sijui, hadi tukawa tunahisi ni maid ndo anaiba jambo ambalo kwangu nilikataa kwa sababu mbili.
moja, ni kuwa huyu binti wa kazi nimeishi nae hata kabla huyu mke hajaamua kuja kuishi na Mimi hivyo hakuna hata siku moja pamoja na mitego mingi niliyo mwekea, hajawahi kuiba hata chenji.
Pili, ufunguo wa droo anaejua ulipo ni Mimi na mke wangu.
Labda niseme, Mimi nje ya ajira yangu nina miradi kadhaa ambayo naiendesha ambayo kila siku baada ya kazi naitembelea kukusanya mapato na kutokana na mazingira wakati mwingine inabidi niwe na pesa ndani kabla sijazipeleka benki kwa kuwa huwa na nazipeleka Mara moja kwa wiki.
Na Mara nyingi nikiwa nimepeleka pesa benki lazima nikute zimepungua tofauti na makusanyo ninayoyajua na kila nikiuliza kama ajasingizia huyu maid basi ni chuma ulete ndo anahamisha pesa kimazingara.
Leo sasa, nimetoka kazini mda wa saa mbili ndo nimefika nyumbani nimemkuta ameshafika tayari tukasalimiana nikaenda chumbani kubadili nguo, nikiwa na kamkoba kangu nikaweka pesa kwenye droo nikachukua simu moja iliisha chaji nikaweka chaji.
Nikaondoka kwenda kupiga story mbili tatu na rafiki zangu kwenye baa ambayo ipo hapa jirani, kabla sijakaa nikakumbuka kuna mtu nilimuahidi kumpigia simu nikifika nyumbani na namba zake zilikua kwenye ile simu.
Nikarudi bila kutarajia nikamkuta amefungua droo na anazo pesa kiasi cha laki mbili mkononi.
Nikamuuliza unatafta nini? akajibu anabadilisha chenji, nikamuuliza hizo hapo mkononi ndo unabadilisha akasema ndiyo.
Nikawa na mashaka nikahesabu pesa zote kwa kuwa ndo makusanyo ya kwanza make asubuhi ndo nilipeleka benki hivyo najuwa mahesabu nilokuja nayo, baada ya kuhesabu nikakuta hamna laki mbili, nimeondoka nimemuacha ameduwaa sijajua cha kumfanya.
mke kama huyu jamani nimfanyeje?
Hili nalo pia in wazo zuri mkuuHapo ndo zitaibiwa nyingi zaidi maana hata akikabidhiwa bado atasema maid au chuma ulete kazikomba.
In the mean time aziweke Mpesa au tigo pesa on the daily basis then anazituma benki kwa simu.
Aende NMB wamuelekeze namna ya kutumia NMB mobile.