Ukiwa na mwanamke mdokozi dawa yake ni nini?

Ukiwa na mwanamke mdokozi dawa yake ni nini?

Kama hauko tayari kumuacha Fanya hivi.....
Kila ukirudi kutoka kazini mkabidhi ela akuhifadhie sio rahisi aibe coz amekabidhiwa yeye.... unajua MTU mchawi MPE mtoto akuleleee Alaf mwisho wa cku unazichukua unapeleka bank... Na ukikuta zimepungua una haki ya kumhoji coz ulimkabidhi yeye
good idea.....unaonekana na wewe mwizi
 
Duh Mkuu huyo ni wa kukimbiwa. Tabia ya udokozi kwa mtu mzima kuisha si rahisi. Pia ni maisha gani mtayo ishi kamo uaminifu kwa kitu minor kama pesa ni shida?
 
Huyo hana mpango na future yenu wawili na hakupendi. Na kakaa na wewe kimipango, ndio maana ana bidii ya kuiba na hata kutokuwa na haya kumsingizia maid. Timua huyo, mshahara wake na pesa anazokuibia anajengea kwao.
 
Atakuwa anamjengea mchepuko. Huyo ipo siku atakuja kukuondoa Duniani kwa tamaa ya pesa. Sasa kabla hilo halijatokea, piga chini fasta...
 
Kama hauko tayari kumuacha Fanya hivi.....
Kila ukirudi kutoka kazini mkabidhi ela akuhifadhie sio rahisi aibe coz amekabidhiwa yeye.... unajua MTU mchawi MPE mtoto akuleleee Alaf mwisho wa cku unazichukua unapeleka bank... Na ukikuta zimepungua una haki ya kumhoji coz ulimkabidhi yeye
Hapo ndo zitaibiwa nyingi zaidi maana hata akikabidhiwa bado atasema maid au chuma ulete kazikomba.
In the mean time aziweke Mpesa au tigo pesa on the daily basis then anazituma benki kwa simu.
Aende NMB wamuelekeze namna ya kutumia NMB mobile.
 
Kuku jike akidokoa yai huchomwa moto mdomo wa kwako sijui umchome wapi duhh!! Ngumu kumeza.
 
Huyo hafai, kuna jamaa yangu mkewe ni mdokozi!! Ana kazi nzuri na mumewe ana kazi nzuri pia lakini mwanamke akiona hata vijiko vichafu kwa jirani atadokoa!!

Jamaa huwa anachukia sana coz kesi haziishi nyumbani. Kuna siku alidokoa elfu tatu kwa jirani/rafiki yao akakamatwa na mumewe alimpa laki nzima asubuhi, for the first time jamaa alimdunda lakini hakomi!!!

Yaan hicho ni kichomi baba, mwambie unamuacha kwa kosa hilo hilo maana ni kero
Huyo Mke wa jamaa yako si mdokozi ana ugonjwa lakini kwa bahati mbaya nimeusahau jina.

Hao huiba hata vitu wasivyovihitaji. Kuna Mwanasaikolojia mmoja alisema raha anayoipata Mtu wa aina hiyo baada ya kuiba ni sawa na raha anayoipata akifika kileleni kwenye ngono.
 
huyo mwizi atakulostisha mpige kibuti mkuu unless otherwise kubaliana na udokozi wake
 
ukimwacha sio issue utaacha wangapi ,kila mtu ana tabia zake nunua safe ufunge n password
 
Pole....Funga CCTV chumbani,Nunua Money Vault halafu naye mpatie password...............tehetheh.......never just joking
 
huyo lazima atakuwa mchaga ,na tayari ameshajenga kwao rombo
 
Aisee pole. Bora umepata uthibisho, hakuna sababu ya kuendelea naye. Atakurudisha nyuma huyo
 
Uwe unamkabidhi yy hela awe anakupelekea bank, halafu anakuletea pay slip. Ila je isije ikawa hata huko kwingne anaiba labda kazin kwa marafiki ila hajastukiwa. Ni bora akuibie ww co nje ya nyumba maana anakua anakuaibisha hadi ww. Ivi inakuaje mtu unamuibia mmeo au mkeo?? Binadamu tupo tofauti sana
 
SIKU AKIKUTA MAMILION AKAPOTEA NAYO NDO UTAKUMBUKA KUJIFUNIKA SHUKA WAKATI KUMEKUCHA
 
Back
Top Bottom