Ukiwa na miaka 17 ulikua na nini na nani?

Ukiwa na miaka 17 ulikua na nini na nani?

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,896
Reaction score
7,522
Leo katika pitapita zangu mitandaoni mana kipindi hiki bwana ukikosa bando Bora ukose mke au mume ila sio Bando. Dakika kumi kuzima data ni nyingi ukiwasha ni kama miaka mitano imekupita.

Nakutana na habari ya lamine yamal Mimi namuita bitozi nyangema,...akiwa anakula raha na jimama/jishangaazi

Akiwa na miaka 17, analipwa mshahara bilioni 2.1 Tsh na ana jimama/jishangazi anakula nalo raha kwenye fukwe zenye hotel za kifahari.

Wewe ukiwa na miaka 17 ulikuwa wapi na ulikua unamiliki nini..

Asalaam Aleykum ...
 
Back
Top Bottom