Ukiwa na Deni la Mtu unakuwa uncomfortable.

Ukiwa na Deni la Mtu unakuwa uncomfortable.

Sijui biblia inazungumzaje juu ya hilo hasa,.ila nijuavyo unapochukua mali/kitu cha mtu ni lazima umrudishie mwenyewe kama mlikubaliana kuwa mnaazimana...lakini kuna watu hata peni tuu harudishi sembuse peso..

Kama una kitu cha mtu ni bora urudishe kwa mwenyewe,kuhodhi kitu ambacho si chako ni dhambi.
Kudaiwa ni kitu mbaya sana ila mkopo haukwepeki katika hali yoyote.
 
Back
Top Bottom