Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,305
- 29,852
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa?
Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.
Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!
Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.
Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!