Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,208
- 3,068
Niko poa...Niko fresh..,kama bado napumua naamini mambo yatajipa!!
🙏🙏🙏Insightful and deep. Well written.
Mpenzi wako yupo sokoniKimaisha kila kitu kiko sawa Alhamdulillah, nammiss tu mpenzi wangu aliye mbali. Nyie it's hard mtu unampenda halafu yuko mbali! Sikia tu.
Hacha kuleta mahubiri hapa! Una hela! Malazi, makazi, familia unaimudu! Ndo tunatakaI'm ok, considering the state of so many others that have less than me.
I'm alive, kuna wengi waliamka na mipango mingi ila sasa wamelala kwenye umauti, so I'm ok.
Kuna wengine wamelala vitandani kwa maradhi wakitamani kuwa na robo ya afya niliyonayo, so I'm really ok.
I'm ok, maana nimekula, inawezakana isiwe nilichotaka kula, lakini nimepata chakula. Kuna waliokuwa na njaa na hawana uwezo wa kupata hata theluthi moja ya nilichopata leo.
I'm ok, despite there being heavy rains, nina hakika nina pa kulala, inawezakana isiwe hekalu, lakini ni bora kuliko yule alie aidha kwenye mafuriko ama asie na pahala pa kulala kabisa.
I'm ok, maana nina familia inayonisubiri nyumbani, inawezakana kusiwe na vicheko tu huko nyumbani, but I know I have people to mourn and rejoice with, kuna ambao wana uchungu lakini hawana wakushea nao.
So, I'm grateful for what I have, inawezekana isiwe yale yote ninayoyataka lakini yananifaa kulinganisha na wengi ambao hawana kabisa. I'm ok in every sense of the word OKAY.
Punguza ghadhabu chief. Kwa vile siku/maisha yako yanakwenda vibaya usifosi iwe hivyo kwa kila mtu.Hacha kuleta mahubiri hapa! Una hela! Malazi, makazi, familia unaimudu! Ndo tunataka
Tutaenda kuyapumulia kwa Mungu tu.Ni sehemu tu ya kupumua na kupunguza stress yasije kukuzidi sababu ya kukosa sehemu ya kutapika, mara moja moja unatoa ya moyoni
Ukweli kabisa kutoka moyoni utauexpose kwa mtu tu barabarani asiye mwandani wako?Wana MMU,
Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda.
Wengine moyo umechoka unaona kama dunia hii sio seheu yako, hata kufikiria huenda dunia haikuwa tayari kukupokea, lakini ukisaliwa unajibu aaah salama, umekamilisha salamu huyo unaenda zako.
Ukiwa mkweli kabisa, How are you? Unaendeleaje na hali?
Lack of love 😌ooh my god why beautiful?
Kufunguka muhimuMi kuna wakati baadhi ya simu/message huwa sijibu kwasababu sitaki kuulizwa kama niko poa nianze kudanganya I'm owwkey while I'm not, wala sitaki kuambia kila mtu ukweli either.
Nimeanza wiki na some really great news, mastress yaliyokua yamekomaa na mimi tokea last year are no longer an issue, so...niko poa sana!😊
Na wewe vipi Cute Wife ...how is you??
I miss you Miss Dr Lizzy 🙂Mi kuna wakati baadhi ya simu/message huwa sijibu kwasababu sitaki kuulizwa kama niko poa nianze kudanganya I'm owwkey while I'm not, wala sitaki kuambia kila mtu ukweli either.
Nimeanza wiki na some really great news, mastress yaliyokua yamekomaa na mimi tokea last year are no longer an issue, so...niko poa sana!😊
Na wewe vipi Cute Wife ...how is you??