Hizi sheria mbaya ni wewe ndiye utapata shida. Mikopo mibaya ndiyo wewe utalipa! Mikataba mibaya yote ni wewe ndiye utaongezewa kodi ya maji, umeme .
Haitakuwa ndugu wa Mwinyi, kikwete wala Samia! Tena kodi zako ndizo zinawalisha sasa. Yaani tanzania sasa inakopa kwa nguvu kazi yako!
Cha ajabu...
Wanajamvii Bwana yesu asifiwe!
Leo ni jumapili siku ya ibada sisi KKKT ni siku ya watoto wetuu (ni sikukuu yao) moja vitu vinanikereketa moyo wanguu ni hawa viongozi wa serikali hii inayojiita awamu ya sita wakati kiuhalisia ni ya Awamu ya tano ni kutumia muda mwingi kusema Samia, kila mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.