chawa wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Msiyoyajua kuhusu watu wa mtandaoni wanaotetea mauaji yaliyofanywa na Vyombo vya Usalama dhidi ya raia siku ya maandamano

    Nimeona baadhi ya watu hapa JF na huko duniani wakiwa wanatetea kitendo cha watu kupigwa risasi na kuuuliwa na polisi wakati wa maandamano Hao watu talking points zao ni kwamba waandamanaji walikuwa ni WEZI na hivyo ilikuwa ni right wao kuuwawa. Sasa nataka niwaulize hivi Sheikh Majini nae...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wabunge wote wa uchaguzi bandia kuacha uchawa kuelekea maandamano Disemba 9. Polisi hawatoweza kuwalinda

    Onyo kwa wabunge wote wa uchaguzi bandia kuacha uchawa kuelekea maandamano #D9 polisi hawatoweza kuwalinda. Sasa wewe jifanye chawa sisi tutakuhesabu kama mchumia tumbo na huna sababu za kuwa mwakilishi uchawa unauwa taifa letu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana chawa wa serikali jitafakari vizuri!

    Hizi sheria mbaya ni wewe ndiye utapata shida. Mikopo mibaya ndiyo wewe utalipa! Mikataba mibaya yote ni wewe ndiye utaongezewa kodi ya maji, umeme . Haitakuwa ndugu wa Mwinyi, kikwete wala Samia! Tena kodi zako ndizo zinawalisha sasa. Yaani tanzania sasa inakopa kwa nguvu kazi yako! Cha ajabu...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na hatari ya njaa kuendesha Tumbo Kwa vijana wengi

    Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita wote wanaompinga Mo 'njaa "..na maadui wa Simba. Hadi yeye Manara alipogombana na Mo na kuhamia...
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tuamke; nchi inatafunwa na wazee na watoto wao nyie mnabaki kusifia

    Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja siyo kwamba na kinyongo nao Ila hiyo Hali halisi navyoona. Kijana kama Lucas mwashamba anapambana...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!

    Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika; "Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu...
Back
Top Bottom