Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Hahahaa! Si vyema uishi bila mwanamke mbona Hata aliyekushikia pumzi alijua hivyo
Kupendwa na mke inatosha kabisa,huwezi kuhangaika kuridhisha watu eti ili wakupende! mafanikio ni juhudi zako binafsi tu pia kujiwekea malengo.
 
Kuna mwanaume ana sifa zote hizo sema hapo kwenye ahadi za uongo ndo hana. Nampenda mpaka nikimuona nalia kwa furaha..

usije nitaja humu watu wakanitumia majoka usiku
 
Ngoja niendelee kutafuta pesa maana ndio alternative ya list yote hapo[emoji23][emoji93][emoji41]

Utatafuta pesa lakini hutapendwa wewe zaidi ya pesa zako. Hizo ni namna ya kupendwa na kukubalika kwa wanawake.
 
Kupendwa na mke inatosha kabisa,huwezi kuhangaika kuridhisha watu eti ili wakupende! mafanikio ni juhudi zako binafsi tu pia kujiwekea malengo.

Sasa utapendwaje na mke ikiwa huna hayo mambo mkuu?
Au mkeo sio mwanamke?
Unaposema wanawake unazungumzia jinsia yote ya kike kama Mama, Dada, Shangazi, Bibi, mam wakwe etc.
 
Sasa utapendwaje na mke ikiwa huna hayo mambo mkuu?
Au mkeo sio mwanamke?
Unaposema wanawake unazungumzia jinsia yote ya kike kama Mama, Dada, Shangazi, Bibi, mam wakwe etc.
Nadhani hatukuelewana lugha tu mkuu,mimi nilidhani tunahitaji kupendwa na idadi kubwa zaidi ya wanawake ili tufanikiwe! kama mke kunipenda inatosha hapo sina tatizo.
 
Nina ushahidi binafsi ...

Wakati nikiwa kijana ....
Kulikuwa na mrembo hivi alikuwa akiwatolea watu wengi nje. Nilipoonana naye nikawa naongea naye kwa mara ya kwanza, wenyeji wa pale walinambia najisumbua wala siwezi pata kitu. Niliwambia kuwa nimezaliwa kuweza na ni lazima nitaweza.

Nilichokifanya nilibadili mfumo wa maongezi na badala yake nilianza kuwa naye sehemu ambazo haziruhusu kutenda mambo hayo (sex).

Baada ya miezi kama sita hivi, yeye ndo alianza kunionea wivu kwani alitamani muda mwingi niwe naye. Alijenga mazingira ya kila Jumapili kuja nyumbani. Tulizoeana na ndugu na marafiki zetu walitufahamu kama marafiki (sio wachumba wala wapenzi).

Siku ya siku nilipojaribu tu ... ilikuwa kama kumsukuma aloinama.

Mara nyingi binadamu huvutwa na kile asichoweza kukipata.
 
Wayaaaaaaaaaaaaaa
 
Fanyeni mambo yooooote..
Lakini hela ndo mpango mzima!
 
Ukitoa uchangamfu hv vingine watavikidh wenye pesa huwez kujiamn bila pesa!!!
Nakukatalika ..

Hata ile kujieleza kwamba sina hela ni kujiamini. Sio mtu unajifanya una hela kumbe huna, huko ndo kutokujiamini. Mfano mpenzi wako / rafiki yako wa kike anakwambia anataka kitu fulani, unajua kuwa huwezi - unaanza kujikanyaga mara hoo, subiri mwisho wa mwezi wakati unajua kabisa kipato chako hakikuruhusu!
Kwa anayejiamini atanyoosha maelezo moja kwa moja kwamba hilo sina uwezo nalo - full stop!
 
Mtuwekeage na jinsi ya kufanya wanawake watuchukie maana wengine hatutaki kabisa kupendwa pendwa ovyo!!🙄
 
Dah....vitu viwili tu vinahitajika ....Pesa .....na nguvu za "misuli" …...vingine hivyo ni siasa tu...[emoji13] ..
 
Back
Top Bottom