Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Hata mimi ndio malengo yangu hayo hayo ila nikimpata anayetaka hivyo namfanyia hivyo.
luku chakula na mavazi mimi yeye ni vitu vikubwa tu tena tunaanza ya bibi wote halafu nasisi pia
Kuwa mtulivu,mvumilivu, na mwaminifu utampata aliye sahihi na wakufanana nawe,wengi hukurupuka na kuishia kuzalishwa wakiwa makwao
 
Umetumia maelezo marefu mimi nafupisha.

Pesa:
Ukiwa na pesa, lazima outlooking yako itakuwa kama unavyotaka,
Lazima utakuwa na kazi inayokupatia hio pesa,
Kila kitu ni pesa now
 
Ukiwa bize na mambo yako hata wasipokupenda lazima hayo mambo yataenda tu, si lazima upendwe ndo ufanikiwe.
 
endelea kukariri....
Nakazia hapa ....yaani Mimi uniaidi gari halafu usinunulie lazima nikuache tu lazima.......kama kuna kitu sipendi basi ni kupewa matumaini hewa looooh .......

Wanaume kua mkweli hii itakufanya mwanamke akupende ...sasa we danganyadangaya atakupenda muongo mwenzio
 
Viumbe wenyewe sisi?

Hatuchelewi kukuona bwege when you make too much effort.

Kila mwanamke anajuaga anachokitaka mda unapofika. So just be yourself daadeqi. No pretence.
Truth will set you free.

Huko huru since day one dada angu.
 
Mtazunguka Ubuyu weee.. ila Hakuna kitu Kinamvutia Mwanamke kama Pesa, Narudia Kwa Mwanamke Hakuna kitu zaidi ya PESA
 
Yote hayo unapoteza muda na kujidanganya..

Pesa pesa + mbo.o ya uhakika ndio kila kitu..!! Kula hadi jirukishe ukuta mpe pesa mpe pesa muongezee pesa..!!
 
Mm naishi maisha ya kiasi yaliyo ndani ya uwezo wangu hayo mengine ya kutafuta kiki kwa wanawake ni kujipa stress.By the way mambo mengi hapo ni hadithi tofauti na uhalisia

Sasa utaishije mkuu bila hao viumbe
 
Sijui mimi nina kismati cha paka tu kupendwa na wachawi pekee maana mabinti hawanielewi. Anyway ngoja niyafuate uliyoyasema
 
Back
Top Bottom