Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Mwanamke anapenda pesa na mdinye kisawa sawa...! Hayo mengine mbwembwe tu...! Ukiwa na hivyo vitu 2 basi uko safe


Hivi unadhani utatiana maisha yako yote mkuu?
Hayo ni mawazo ya watu wasiokomaa kifikra. Ukifikisha miaka 50 utaeleza jambo jingine Mkuu.

Mtu ni utu si vitu, take from me. Unaweza ukawa una pesa na unamkaza mkeo vizuri na bado ukawa kituko tu kwake. Life ni natural na si Artificial
 
Umefeli sanaaa yaani unazunguka zunguka tu una acha point PESA Yaan SABUNI YA NAFSI, HENDSAM wa huu mji pendwa daslam? Kweli unajifanya hujui main character PESA? Tutake radhi tafadhali


Ukikua utaelewa Mkuu.

Embu elezea kwa kifupi Mazishi ya King Majuto,
Je alikuwa na pesa au hivyo nilivyovitaja?
 
Yote hayo unapoteza muda na kujidanganya..

Pesa pesa + mbo.o ya uhakika ndio kila kitu..!! Kula hadi jirukishe ukuta mpe pesa mpe pesa muongezee pesa..!!

Mkuu hujui unachokisema, hata hao wanawake wanakushangaa. Usidhani wanaipenda pesa kama unavyofikiria. Wapo vijana hawana pesa na wanachukua watoto wakali, wanakula wake wa vigogo. Shtuka acha upopoma mkuu
 
Sijui mimi nina kismati cha paka tu kupendwa na wachawi pekee maana mabinti hawanielewi. Anyway ngoja niyafuate uliyoyasema

Ishi hayo mambo mkuu utakuja kuniambia.

wanawake hawapendi mambo makubwa sana, vitu vidogo vidogo vinakupa point kwao
 
Pesa ndio kila kitu. uwezi piga pamba kali bila kuwa na pesa!


Uliza hao wenye pesa uone mtazamo wao kuhusu wanawake. Ukiwa huna pesa unatumia hiyo ndio sababu ya kutokupendwa jambo ambalo si kweli
 
Umetumia maneno mengi sana kuelezea nn wanapenda hawa viumbe. Kifupi ni wanapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalma wa maisha yao tu. Ukiliweza hilo umemaliza kazi

Safi sana, wewe umewaza kama mwenye hekima.
Ndio maana hizo sifa zinamhakikishia mwanamke amani, usalama, furaha, madeko, ulinzi na uhuru.
Watu wanasema pesa, hivi pesa alafu mwanamke kila siku unampa maneno ya dhihaka na vitisho vya kumfukuza, kumnyanyasa. Kweli takupenda?

ukirudi umenuna, unamkaripia kila mara. Atakukubali kweli.
Unapesa lakini hajui unapozipata atakuwa na uhakika wa kesho yake?
Ndio maana wanawake huuliza unafanya kazi gani ili kuona kesho yako na yeye.

Bila shaka unaelewa kuliko wengi humu
 
Dah....vitu viwili tu vinahitajika ....Pesa .....na nguvu za "misuli" …...vingine hivyo ni siasa tu...[emoji13] ..


Ukioa utanambia, pesa ipo mwishoni kabisa katika ishu ya kupendwa.
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vinasema tuishi nao kwa akili
 
Mtuwekeage na jinsi ya kufanya wanawake watuchukie maana wengine hatutaki kabisa kupendwa pendwa ovyo!!🙄


Hahahhhaa! Kuwa kinyume na hayo mkuu. Hata umpe dunia nzima hata kupenda wala kukubali. ataishi nawe kwa unafiki tuu
 
Mtazunguka Ubuyu weee.. ila Hakuna kitu Kinamvutia Mwanamke kama Pesa, Narudia Kwa Mwanamke Hakuna kitu zaidi ya PESA
Je mapigo ya moyo
Tumeshuhudia wapo walioekwa ndani kazi yao ni kupiga moyo ukome
Na pesa wanageiwa kwa kazi mzuri
 
Ukitoa uchangamfu hv vingine watavikidh wenye pesa huwez kujiamn bila pesa!!!


Duuuh! ndio ulivyofundishwa kwenu.
Mwanaume hujiamini popote bila kutegemea chochote na lolote.

Sema pesa ni moja ya vitu vinavyoweza mfanya mtu ajiamini na sio bila pesa huwezi kujiamini. Umeongea kama kichaa mkuu
 
Ukioa utanambia, pesa ipo mwishoni kabisa katika ishu ya kupendwa.
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vinasema tuishi nao kwa akili
Dah....ndiyo maana nakwambia hizo ni siasa tu....huna Pesa.....msuli nao " haukazi".....hapo utakuwa mwanaume wa kupigia picha tu....
 
Kuna jamaa amewahi kuniambia, "ukitaka wanawake wakupende, fanya mambo yako kwa usahihi watakuja wenyewe na utachagua wa kukufaa".
Njia hii ni kama iliwork kwa upande wangu.
 
Back
Top Bottom