milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,066
Write your reply...Love is feeling kila Adam ana Eva wake
Kweli,Kabisa na atakupatia Mwanamke halisi wakuoa na utaepuka kuoa wife material,kwani si kila Mwanamke ni wa kuoaUkifanya hayo hata Mungu atakupenda, hivyo si wanawake tuu
😀😀😀😀😀😀😀😀 ha ha ha,na kweli maswala ya kutafuta kiki kwa wanawake, ha ha sio njemaMm naishi maisha ya kiasi yaliyo ndani ya uwezo wangu hayo mengine ya kutafuta kiki kwa wanawake ni kujipa stress.By the way mambo mengi hapo ni hadithi tofauti na uhalisia
Ukiwa na mtazamo huo kwa Dunia ya sasa,utakuja kuniambia,itakuja kukukost sana, na Ukiwa na huo ufahamu uwezi kuendelea kwa sababu hayo maandiko ulielewa vibayaFanya kazi ipi tukiienda kwenye maandiko it's my right for you to give me money yes utakula kwa jasho utatunza familia ikiwemo hadi cooking washing disehs house work and everything for me i will give you kids only so utajaza aa yakhe
Wewe umezoea vya buree ndio maana unaongea sana kumla mtu wewe na kufuliwa kupikiwa kufanya kila kitu ni yeue hadimatunzo ni yeye sasa unashangaa mwanamke kama mimi kuwakumbusha wajibu wenuUkiwa na mtazamo huo kwa Dunia ya sasa,utakuja kuniambia,itakuja kukukost sana, na Ukiwa na huo ufahamu uwezi kuendelea kwa sababu hayo maandiko ulielewa vibaya
Upo sahihi sana best ukitanguliza pesa ndio hapo zikipungua lazima ukimbie kukiwa na Upendo wa kweli ni rahisi kubadilika kuendana na hali. Japo pesa imechukua nafasi kubwa katika maisha na imeleta changamotoPesa haileti vitu hivyo, bali vitu hivyo ndo vinaleta pesa. Hapo ndo tunapotofautiana ... tafuteni hivyo kwanza, mengine utazidishiwa.
Amri kuu ya kwanza na ya mwisho ni UPENDO.
Upendo ndo utakufanya ujipende, uwapende wengine, uwe muwajibikaji, ujiheshimu, n.k. Mimi nimechagua kupenda kwanza .. na mengine nazidishiwa tu.
Kwanza sijazoea vya buresijawai pewa cha bureWewe umezoea vya buree ndio maana unaongea sana kumla mtu wewe na kufuliwa kupikiwa kufanya kila kitu ni yeue hadimatunzo ni yeye sasa unashangaa mwanamke kama mimi kuwakumbusha wajibu wenu
Nina ushahidi binafsi ...
Wakati nikiwa kijana ....
Kulikuwa na mrembo hivi alikuwa akiwatolea watu wengi nje. Nilipoonana naye nikawa naongea naye kwa mara ya kwanza, wenyeji wa pale walinambia najisumbua wala siwezi pata kitu. Niliwambia kuwa nimezaliwa kuweza na ni lazima nitaweza. Miezi Sita yote hiyo unasubiri papuchi?! Asee kweli kuna watu mnauvumilivu
Nilichokifanya nilibadili mfumo wa maongezi na badala yake nilianza kuwa naye sehemu ambazo haziruhusu kutenda mambo hayo (sex).
Baada ya miezi kama sita hivi, yeye ndo alianza kunionea wivu kwani alitamani muda mwingi niwe naye. Alijenga mazingira ya kila Jumapili kuja nyumbani. Tulizoeana na ndugu na marafiki zetu walitufahamu kama marafiki (sio wachumba wala wapenzi).
Siku ya siku nilipojaribu tu ... ilikuwa kama kumsukuma aloinama.
Sasa nyie mnaoa wadada wasiowaza life ni wadada waliozoea stareheunategemea nini?Kwanza sijazoea vya buresijawai pewa cha bure
Pili ,kulea watoto ni jukumu la Wazazi wote
Kifupi tu kwa Dunia ya sasa nadhani naongea uhalisia bila, kukomaa wazazi wote hamwezi kuendelea mbele,kinachopatikana kitaishia kula Chakula afu hamna chochote hapo cha Maendeleo kiuchumi
Hapoooo kaziSasa nyie mnaoa wadada wasiowaza life ni wadada waliozoea stareheunategemea nini?
nimekuelewa nipo tayari kuku callUkitaka mimi nikupende naomba ml. 60 tu .
siitaji jingine.
ukiwa na zaidi ni call .
Hata mimi ndio malengo yangu hayo hayo ila nikimpata anayetaka hivyo namfanyia hivyo.Hapoooo kazi
Kuna familia moja niliisikia nilipenda sana yani Baba na Mama waligawana majukumu
Baba alijihusisha na kujenga majumba,kifupi,Baba alideal kutafuta Maendeleo
Mama alihusika na mambo yote ya ndani,kununua nguo za watoto, Chakula na mambo kuhusu ndani
Waliendelea sana tena sana
Sawa karibunimekuelewa nipo tayari kuku call