The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,076
- 117,665
Katika dunia hii,huwezi kupendwa na watu wote au kuchukiliwa na watu wote,ni ngumu sana kumridhisha kila mtu,live ur life,life is too short kukaa kuhangaika na kutaka kupendwa na kila mtu.