Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende

Kuna mwanaume ana sifa zote hizo sema hapo kwenye ahadi za uongo ndo hana. Nampenda mpaka nikimuona nalia kwa furaha..
 
Kwani usipompenda atapata hasara gani? sasa hivi humpendi anapata hasara gani?
Fanyakazi hakuna mteremko wa hivyo kwenye maisha.
Hivi kweli kila kitu mnaamini mtu akisema shauri zenu.
nakiingine siitaji mtu wakumpenda kwa maana kuna mwanaume niliyekuwa na mpenda sana na ni bana yangu mzazi basi kwa maan alinilea alinijali aliuonyesha upendo ambao sijapata kwingine nasidhani kama nitapata kwingine.
halafu ujue kuwa wanaume hawafia kupendwa maana watakudharau watakupa stress za maisha
 
Ulikua unapima upepo eeh?!
Fanya kazi hakuna mteremko dunia ya leo.
Fanya kazi ipi tukiienda kwenye maandiko it's my right for you to give me money yes utakula kwa jasho utatunza familia ikiwemo hadi cooking washing disehs house work and everything for me i will give you kids only so utajaza aa yakhe
 
Ulikua unapima upepo eeh?!
Fanya kazi hakuna mteremko dunia ya leo.
Unajua kupika its your right na pia kufua na kuwash dishes kunitunza na kila kitu it's your resposibilities my friend.
so ukijidanganya eti sisi ndio hatuelewi sana kuwa nani aliambia atakula kwa uchungu ni nyie acheni uvivu fanyeni kazi tule na tuwalele watoto wenu.
 
Toka lini nimekua ur friend??!!
Achana na fikra tegemezi,narudia tena,fanya kazi hakuna mteremko kwenye dunia ya leo,hizo hadithi zako haziwezi kubadili kitu.
 
Toka lini nimekua ur friend??!!
Achana na fikra tegemezi,narudia tena,fanya kazi hakuna mteremko kwenye dunia ya leo,hizo hadithi zako haziwezi kubadili kitu.
Haya sijasema wewe ni rafiki yangu nope huo ni usemi humu sina best friend na best people and your not in my list .
so jipange usitegemee upewe hela na wanawake ni wewe umtunze.
 
Haya sijasema wewe ni rafiki yangu nope huo ni usemi humu sina best friend na best people and your not in my list .
so jipange usitegemee upewe hela na wanawake ni wewe umtunze.
Sawa endelea kumsubiri wa kukuhonga milioni 60 humu,good luck.
 
Nina ushahidi binafsi ...

Wakati nikiwa kijana ....
Kulikuwa na mrembo hivi alikuwa akiwatolea watu wengi nje. Nilipoonana naye nikawa naongea naye kwa mara ya kwanza, wenyeji wa pale walinambia najisumbua wala siwezi pata kitu. Niliwambia kuwa nimezaliwa kuweza na ni lazima nitaweza.

Nilichokifanya nilibadili mfumo wa maongezi na badala yake nilianza kuwa naye sehemu ambazo haziruhusu kutenda mambo hayo (sex).

Baada ya miezi kama sita hivi, yeye ndo alianza kunionea wivu kwani alitamani muda mwingi niwe naye. Alijenga mazingira ya kila Jumapili kuja nyumbani. Tulizoeana na ndugu na marafiki zetu walitufahamu kama marafiki (sio wachumba wala wapenzi).

Siku ya siku nilipojaribu tu ... ilikuwa kama kumsukuma aloinama.
Sio rahisi kushindwa kwa muda mrefu uliotumia.
 
Back
Top Bottom