Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Daah nakuonea wivu sana maninerrrr zangu
Connection ni tourism ikirudi jiingize huko, au nenda ughaibuni. Mimi niliishi nao abroad. Kule ma-blacks tunagombaniwa unakuta miji mingi mko wachache sana na tunawapa mademu wa kizungu penzi balaa kwa hio wanatupenda balaa. Kama umewahi kusikia msemo "if you ever go black, u will never go back" unamaanisha.. mzungu akishaonja kitu ya black, kwa asilimia kubwa hataki wazungu wenzake tena. Japo wangu mie alikuja olewa na white mwenzake tu. Hehehe.
 
Hukuwa na commitment mzee

Wazungu wanapemda.mahusiano serious na na yenye commitment .

Sasa mzee wa kusugua Gaga ndio maana umemshindwa[emoji1]
Nilimpenda sana. Na tena nilipokuwa naye sikuwa natamani hata demu wa kibongo. Penz likuwa kali sana. Kwa hio nilikuwa committed sana. Tatizo ni kuwa controlled tu. Yani kila kitu anataka ni yeye aamue. Mimi sina sauti kabisa. Mimi hapo ndio nikashindwa.
 
% kubwa ya wanawake ni wabinafsi kuna mmoja mpaka ilipidi nimpige chini kwa hasira japo alikuwa mchepuko tu lakini nikianza nae kitambo sanaa tangu niko chuo wao ni family friend mpaka nikipokuja kuoa bado nlikuwa namega kisela tatizo lake ndo km hivyo ni mfanyakaz serikalin lakin ukimpanga apoint au akufate mkoa ulipo basi hata akitumia nauli yake atataka umrudishie hata akitumia boda ya buku atataka buku lake lirud nilivumilia yakanishinda nkamchana live siku moja nkapiga chini mazima
Sasa unataka akuvumilie nini na hata kumuoa huwez? Michepuko yote ipo after money we fulia tu uone Kama utakaa umpate yeyote, wake zenu tuuu ndo hata akitoa hela anajua mnasaidiana na watoto
 
Wanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!

Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
 
Huyo ni co-partner si soul mate. Partnership yenu imebase kwenye sex.
Sasa Kwanini yeye anataka pesa kwangu while partner imebase kW sex lakin yeye ukimuomba annaruka mita mia
 
Wanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!

Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
Hahahahah. Hatari
 
Wanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!

Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787] naona umetamani position ya mzungu [emoji14][emoji14][emoji3577]

Mlaumu dingi ako Hana private jet[emoji1787][emoji1787][emoji14][emoji3577]
 
Utamuombaje hela mwanamke wako?
Mimi hata nikiwa na matatizo mazito simwambii mwanamke wangu.bora nife nayo lakini si kumwambia najua mwanamke Hana msaada kwenye matatizo ya mwanaume.
Badili mtazamo
 
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787] naona umetamani position ya mzungu [emoji14][emoji14][emoji3577]

Mlaumu dingi ako Hana private jet[emoji1787][emoji1787][emoji14][emoji3577]
Kaoleweni sijawazuia Tena mkikosa wazungu wanawake mtafute wanaume Kama nyie,, kila mutu ashinde mechi zake
 
Wanaume wa kisasa wakipeana michongo ya kuolewa na wazungu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣warere,,mtu umeolewa unahudumiwa kwa kila kitu halafu unajitutumua hutaki kupelekeshwa!!!

Mwanaume utakula kwa jasho nawe mwanamke utazaa kwa uchungu,,,, najikumbushia tu
Swali kwako mdada. Kwa hio kama mwanaume anamhudumia mwanamke kwa kila kitu ana ruhusa ya kumpelekesha anavyotaka yeye mwanaume?
 
Kaoleweni sijawazuia Tena mkikosa wazungu wanawake mtafute wanaume Kama nyie,, kila mutu ashinde mechi zake
Inaonekana umeumia sana[emoji1787][emoji1787]

Tunataka wanawake wa shoka 50/50 sio ndio mnayotakaga

Acha wivu ukitaka na wewe tafuta danga la kizungu[emoji1787][emoji1787][emoji3577][emoji14]
 
Swali kwako mdada. Kwa hio kama mwanaume anamhudumia mwanamke kwa kila kitu ana ruhusa ya kumpelekesha anavyotaka yeye mwanaume?
Ukiolewa aliekuoa anakuwa na wajibu wa kukuhudumia kwa kila kitu, kula bata nk hivyo basi unatakiwa uwe na adabu kwa aliyekuoa,
 
We nenda kaolewe usione aibu mbona kawaida tu, Tena babu wa kizungu atakufaa sana
Inaonekana umeumia sana[emoji1787][emoji1787]

Tunataka wanawake wa shoka 50/50 sio ndio mnayotakaga

Acha wivu ukitaka na wewe tafuta danga la kizungu[emoji1787][emoji1787][emoji3577][emoji14]
 
Kwanini wanawake wengi ikatokea ukayumba kidogo au ukamwambia mpenzi wangu nisaidie kiasi fulani nitrejesha anasema sina, huku unajua anayo.

Tabia hii inakera sana
Kama unajua anayo unaomba ya nini? Chukua then tembea zako. Ila ukumbuke kuandaa taarifa ya utekelezaji (physical & financial). Hii utaiwasilisha kwenye kikao chenu ambacho kama sijakosea huwa mnakifanya usiku kwenye ukumbi wa ..........
 
Naendelea kusoma comments 😂
 
Huyo ni mpenzi wako tu sio wote wako hivyo
 
Ukiolewa aliekuoa anakuwa na wajibu wa kukuhudumia kwa kila kitu, kula bata nk hivyo basi unatakiwa uwe na adabu kwa aliyekuoa,
Wadada Tz shida yenu dear ni kwamba mtu atakuhudumia kila kitu, lakini bado hamridhiki. Na adabu wala hamuonyeshi kabisa. Mungu atawarehemu tu.
 
Back
Top Bottom