Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Kwanini wanawake wengi ikatokea ukayumba kidogo au ukamwambia mpenzi wangu nisaidie kiasi fulan Ntrejesha anasema sina, huku unajua anayo,

Tabia inakera sana,
Wengi wako hivyo, ila wachache wana roho ya upendo. Mimi kuna kibinti kiliwahi kunipa ela yake ya mtaji kilichopewa na baba yake dah wanawake wengine wana roho nzuri maskini. Ila japo sikukitendea wema ila nilikuja kukilipa mara zaidi ya tatu mambo yangu yalipokaa sawa. Bora ningemuoaga yule binti ila haina noma maisha yanaendelea na kamwe siwezi kurudisha wakati nyuma.
 
Hapo alikuwa amekuoa ndio maana alitaka kukucontrol.
Wanawake wa kiafrika ndio wako hivyo. Nilikuwa na mchumba wa kizungu, tena mrembo haswaa kiasi kwamba tukitembea majamaa walikuwa wanampa miluzi kibao kila kona tukitoka out au tukitembea tu. Kwao ni matajiri sana, na baba yake ana private jet. Basi akaja tz, tukienda vacation mfano Dar au Zenj kutoka arusha tunakaa mahoteli ya $400 au zaidi kwa siku. Analipia kila kitu. Hata safari mafuta ya gari analipia yeye. Mimi anasema hela yangu niiweke kwa ujenzi tu. Tatizo alikuwa very controlling. Yani sikuwa na uhuru kabisa. Hapo ndio tukashindwana. Akarudi kwao akaolewa na mzungu mwenzake. Ilichukua muda mrefu sana maumivu kuisha. Pia penzi lake kwa kitanda hakuna hata mdada wa Tz hadi sass aliyemfikia. Kwa hio kama kwako kuwa controlled sio shida, tafuta mrembo mzungu. Ila binafsi pia kiuchumi niko sawa namshukuru Mungu. Kwa hio siwezi uza freedom yangu ili tu eti niwe na mzungu anayeni-control kila kitu
 
Wengi wako hivyo, ila wachache wana roho ya upendo. Mimi kuna kibinti kiliwahi kunipa ela yake ya mtaji kilichopewa na baba yake dah wanawake wengine wana roho nzuri maskini. Ila japo sikukitendea wema ila nilikuja kukilipa mara zaidi ya tatu mambo yangu yalipokaa sawa. Bora ningemuoaga yule binti ila haina noma maisha yanaendelea na kamwe siwe kurudisha wakati nyuma.
Hahahahah kuna watu wanaweza shangaa wanawake hawa hutokeaga wapi ila wapo katika jamii hii hii ya maharamia. Mie pia nilishakulaga laki 6 ya baba mkwe 😂😂😂 kimasihara tu.

Mwanamke anayekupenda licha ya adabu tu yuko tayari kuspend hela yake on you na wala hajali. Thats an immediate indicator kuwa hauko na mnafiki. Mwanamke mbinafsi hawezi kubali kutumia hata sh.100 yake na hata siku ukikwama utajuta.
 
Hahahahah kuna watu wanaweza shangaa wanawake hawa hutokeaga wapi ila wapo katika jamii hii hii ya maharamia. Mie pia nilishakulaga laki 6 ya baba mkwe 😂😂😂 kimasihara tu.

Mwanamke anayekupenda licha ya adabu tu yuko tayari kuspend hela yake on you na wala hajali. Thats an immediate indicator kuwa hauko na mnafiki. Mwanamke mbinafsi hawezi kubali kutumia hata sh.100 yake na hata siku ukikwama utajuta.
Kweli kabisa mkuu binti akikupenda anakupenda kweli ila sema mara nyingi unakuta tunawaumiza tu. Sasa kuna kingine nilikuwa nacho kinaona sina kitu kinasikilizia tu wakati nakaa nacho sasa kumbe kina lak 4 kwenye begi dah. Nilipoziona kiliona aibu sana.
 
Hata hivyo wengi hawana pesa .
Ladies wengi wana hips tu ambazo pia ni zawadiya Mungu.

Fedha zao kidogo uwekeza katika urembo na mavazi. Akiwanazo za chenji atawekeza kwa Wana familia yake.

Kifupi mademu wa kibongo wanapaswa kuinuliwa kiuchumi wengi matarajio yao ni kupata mwanaume atakaekolea awekeze kwake.
 
alikuwa anamgharamia ndio maana,unajua wazungu hawapendi mambo mengi.
Kwa mfano anakupa kila kitu hataki uanze visingizio eti ooh kuna mishe nafukuzia maeneo ya kibaha nitarudi jioni.
Au ukioa mzungu ukamuacha nyumbani halafu wewe ukaenda kazini basi ikifika saa kumi na moja kamili anakuja kukusubiria nje ya geti la kazini mrudi wote kazini.
Huu ndio mfumo wao waliojitengenezea ili kucreate high degree of honestry.
Haina utofauti sana na mfumo wa wale waarabu na wapemba ingawa watu wanawaambia wana wivu sana mara ooh wanathamini sana chini lakini ndio sheria ya ndoa inavyotakiwa.
Tuongee ukweli tu mfumo wa ndoa za wabongo ni rahisi sana kuchepuka.
Mwanamke au mwanaume anatoka nyumbani muda wowote anaotaka hata haulizwi au mtu anasingizia kwenda sokoni anamaliza mambo yote huko huko akirudi anajifanya ameshika mfuko umejaa nyanya na vitunguu ili kukuzuga kuwa alikuwa sokoni kumbe kuna muhuni kashamchukua kamuingiza guest wamemalizana baadae anapitia sokoni kuzuga.
Ukimpenda mtu hum control, huyo mzungu alikuwa hajui nini maana ya kupenda. Huwezi kumpelekesha mtu ati kisa unampenda. Let love flow freely.
 
Hii Sub topic inabidi iongezwe kwenye somo la uraia kwenye mambo ya Courtship and Marriage !!!
Iitwe "Jinsi ya kumpata mke"

Nishawaambia humu a million times kama mwanamke wako hawezi ku spend on you thats not a reliable partner. Mwanamke wa kuwa nae au kuoa hakikisha si mbinafsi maana maisha yana changamoto sana usijiongezee tabu kuwa na mwanamke mbinafsi.

Mwanamke ambaye unamsaidia full ila yeye hawezi kukusaidia ukimhitaji ni mshenzi tu na hafai.
Kuna mshkaj alipata changamoto hadi kufkuzwa anapoish lkn mwanamke wake hakuthubutu kutoa pesa ya kodi akidai anamuendekeza..... imagine mke ana kazi lkn alikua yuko tayar warudishe vitu kwa wazazi jamaa apambane anavyojua apate kodi.... nlishangaa sana... kuna siku jamaa anarudi kwa stress za ajabu ananiambia amekuta slip ya bank akaunt ya mke wake inasoma 2.5m.... jamaa sku iyo alilia sana... kwa vile mi naelewa nguvu ya penz na pia sikutaka kumjudge sana mke coz pia huenda walikua na hitilaf na hiyo ndo adhabu... nlimshaur tu apambane na alikua anakaa kwangu... baada ya 7month mambo yalirud km kawaida na amechukua nyumba saiv mambo yanaenda akiwa na mkewe...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hii Sub topic inabidi iongezwe kwenye somo la uraia kwenye mambo ya Courtship and Marriage 😂!!!
Iitwe "Jinsi ya kumpata mke"

Nishawaambia humu a million times kama mwanamke wako hawezi ku spend on you thats not a reliable partner. Mwanamke wa kuwa nae au kuoa hakikisha si mbinafsi maana maisha yana changamoto sana usijiongezee tabu kuwa na mwanamke mbinafsi.

Mwanamke ambaye unamsaidia full ila yeye hawezi kukusaidia ukimhitaji ni mshenzi tu na hafai.
Yaani Ni sawa na kulikumbatia bomu ipo siku litakugeuka na kukulipukia tu 😁😁😁

Mwanamke was Aina hiyo anatofauti gani na Yale majini ya chuma ulete !?
 
% kubwa ya wanawake ni wabinafsi kuna mmoja mpaka ilipidi nimpige chini kwa hasira japo alikuwa mchepuko tu lakini nikianza nae kitambo sanaa tangu niko chuo wao ni family friend mpaka nikipokuja kuoa bado nlikuwa namega kisela tatizo lake ndo km hivyo ni mfanyakaz serikalin lakin ukimpanga apoint au akufate mkoa ulipo basi hata akitumia nauli yake atataka umrudishie hata akitumia boda ya buku atataka buku lake lirud nilivumilia yakanishinda nkamchana live siku moja nkapiga chini mazima
😀😀😀😀
 
Hebu nipe connection ya hao wazungu namimi nifaidi mema ya dunia
Connection ni tourism ikirudi jiingize huko, au nenda ughaibuni. Mimi niliishi nao abroad. Kule ma-blacks tunagombaniwa unakuta miji mingi mko wachache sana na tunawapa mademu wa kizungu penzi balaa kwa hio wanatupenda balaa. Kama umewahi kusikia msemo "if you ever go black, u will never go back" unamaanisha.. mzungu akishaonja kitu ya black, kwa asilimia kubwa hataki wazungu wenzake tena. Japo wangu mie alikuja olewa na white mwenzake tu. Hehehe.
 
Back
Top Bottom