Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

Wadada Tz shida yenu dear ni kwamba mtu atakuhudumia kila kitu, lakini bado hamridhiki. Na adabu wala hamuonyeshi kabisa. Mungu atawarehemu tu.
We ungeridhika na kuonyesha adabu kwa mumeo(mdada wa kizungu mwenye pesa yake) hata usingeamua kuachika,,

Ulikuwa umeolewa usijibaraguze hapa,,

kuolewa si lelemama maana yake uwe mtiifu kwa aliyekuoa,

unawasakama wadada wa tz ilhali we mwenyewe maisha ya kuolewa yalikushinda
 
Huyo anaafadhali wengine sijui tunagundu nina wangu huyo kuja tu muonana na kupiga story mpaka umtumie nauli ya toyo na toyo ni buku ila yeye anataka utume buku tano utasema anapanda fast jet kwa wiki Ela ya toyo tu unakuta umetumia elfu 20
Uwe unaenda wewe maana naona kakugeuza saccos
 
Kama unajua anayo, si unamuibia tu.. utarudisha siku ukipata

, si ndo mpaka ajue ilipowekwa.

Mwanamke wa namna hiyo ni mbinafsi, unaweza kufa kwa kukosa matibabu na pesa ipo kibindoni, sasa wa nini?
 
Wanawake wa kiafrika ndio wako hivyo. Nilikuwa na mchumba wa kizungu, tena mrembo haswaa kiasi kwamba tukitembea majamaa walikuwa wanampa miluzi kibao kila kona tukitoka out au tukitembea tu. Kwao ni matajiri sana, na baba yake ana private jet. Basi akaja tz, tukienda vacation mfano Dar au Zenj kutoka arusha tunakaa mahoteli ya $400 au zaidi kwa siku. Analipia kila kitu. Hata safari mafuta ya gari analipia yeye. Mimi anasema hela yangu niiweke kwa ujenzi tu. Tatizo alikuwa very controlling. Yani sikuwa na uhuru kabisa. Hapo ndio tukashindwana. Akarudi kwao akaolewa na mzungu mwenzake. Ilichukua muda mrefu sana maumivu kuisha. Pia penzi lake kwa kitanda hakuna hata mdada wa Tz hadi sass aliyemfikia. Kwa hio kama kwako kuwa controlled sio shida, tafuta mrembo mzungu. Ila binafsi pia kiuchumi niko sawa namshukuru Mungu. Kwa hio siwezi uza freedom yangu ili tu eti niwe na mzungu anayeni-control kila kitu
Uko na video tuone apo uliposema yupo vizur kwa kitanda kuzid dadazetu
 
, si ndo mpaka ajue ilipowekwa.

Mwanamke wa namna hiyo ni mbinafsi, unaweza kufa kwa kukosa matibabu na pesa ipo kibindoni, sasa wa nini?
Sio mtaalamu sana wa mambo hayo. Ila ukiona mwanamke wako anakunyima pesa, ujue upo na matumizi mabaya asiyo yapenda na hakuamini katika matumizi. Anaona kabisa kukupa hela ni sawa na kuchezea. Wana wake wana nidhamu sana ya pesa ila sio wote
 
We ungeridhika na kuonyesha adabu kwa mumeo(mdada wa kizungu mwenye pesa yake) hata usingeamua kuachika,,

Ulikuwa umeolewa usijibaraguze hapa,,

kuolewa si lelemama maana yake uwe mtiifu kwa aliyekuoa,

unawasakama wadada wa tz ilhali we mwenyewe maisha ya kuolewa yalikushinda
Dada. Ngoja nikupe story yote labda ndio utanielewa.

First of all, mimi ni mtu na hela yangu pia. Tulikuwa tunaendesha magari yangu, na kuishi kwa nyumba yangu. Wakati najenga lodges za tours. Ila spending money ilikuwa ni yeye anatoa, after all, hizo vacations zote tulienda ilikuwa ni ideas zake. Kuna appliances pia nilinunua mimi alivyokuja tanzania. Nilinunua washing machine, dryer, electric oven, etc ili kufanya maisha yake yawe rahisi akiwa Tz. Kwa hio nilichangia sana sana. Na sio kuwa yeye tu ndio alikuwa anachangia kifedha. Lakini tatizo ikawa maamuzi yote kama tunakula nini, tunaenda wapi, tunafanya nini, nk ni yeye tu vile anataka na si vinginevyo. Wazungu wanasema, "it was her way, or the highway". Ni atakavyo yeye, ama sivyo nipite hivi. Hadi ananikataza nikitaka kwenda site mara nyingine. Ila kweli kwa kitandani, muda wowote nikitaka, ananipa. Tena anasema baby mwili wangu umeumbwa kwa ajili yako, nifanye utakavyo na nitakupa kila kitu upate raha zote. Ila mwisho wa siku her controlling ways zikafanya nikaamua kupita hivi. Unavyoona hivyo ni sawa alivyofanya? Mimi sikutaka kum-control mtu. Ila pia sikutaka kuwa controlled namna hio. Mahusiano ni maelewano. After all, nilichangia sehemu kubwa sana kifedha pia.

Nilichokuwa naongelea ni kwamba wadada Tz, asilimia kubwa hata upambanaji katika biashara hamna. Na ukifunguliwa biashara mnaziua tu. Afadhali hata huyo mzungu, tungefungua biashara angechangia sana, kimawazo, kwa nguvu zake, na capital pia. Tatizo lake ndio lilikuwa hilo kwamba hakutaka kunipatia nafasi ktk mahusiano. Kwangu that defect of hers was a major issue indeed.

Nyie wadada Tz. Tunawapenda lakini mbadilike. Mie sitaki hela ya mtu, lakini nikiwa nawe, nataka uchangie hata kimawazo. Pisi kali za bongo hapo ndio mnashindwa kabisa.

Ps: Pia jitahidi usijibu kwa dharau. Hapa tuna elimishana. Hakuna sababu ya kubezana. Na kwa taarifa yako niliumia sana mimi na yeye tulivyoachana. Nilikataa kwenda kwao new zealand, alishaweka mambo sawa niende huko. Nikakataa. Nikaona kama huku tz kwetu ananifanyia hivyo, huko kwao je? Pia teari mimi na permanent residence USA, na nikiwa huko marekani ndio nilikutana naye. Ni mtu anapenda adventures, akasema atapenda kuja tz kuishi na mimi sababu nilishamwambia sina plans sana za kuishi USA. Akaja Tz tukaishi pamoja, ila ndio pakamshinda. Tz palimshinda sababu ya mbu alikuwa akiumwa na mmoja tu anavimba mwili. Yeye ni raia wa nchi mbili za USA na New zealand (Dual citizenship). Sababu alikuwa hapendi sana USA, na Tz palivyomshinda, na sababu Alipenda new zealand zaidi, na familia yake ilikuwa na branch huko New zealand ya kampuni yao, basi ndio akataka tuhamie New zealand.

Kwenda Nz kwangu ikawa issue. Nikaona tz, USA, na New zealand = nchi tatu and that was just too much. Nilishaanza wekeza USA na Tz, sikuwa teari kuhamia nchi nyingine for a woman. Kwa hio nikaone huyu atanipoteza kimaisha na direction-wise. Hapo ndio tukashindwana. Miezi michache baadae, akawa amepata mzungu wakaja kuoana 2 years later. LAKINI SASA HIVI NIKIANGALIA ULIKUWA UAMUZI SAHIHI KABISA. NIMEFANYA MAMBO MAKUBWA AMBAYO NAJUA NINGEKUWA NAYE NISINGEFANYA. YEYE ALIKUWA MTU WA KULA BATA TU. NA MIMI NI MTU WA KUWEKEZA (KU-INVEST). Tena hata hela yangu binafsi alishaanza kui-control. Nikaanza kukosa uhuru wa kuiwekeza nk. Uhuru huo umenisaidia sana. Na nimefanya mambo makubwa. Na sasa nina mali zangu binafsi, ambazo siingiliwi na mtu. That is an amazing feeling.
 
Dada. First of all, mimi ni mtu na hela yangu pia. Tulikuwa tunaendesha magari yangu, na kuishi kwa nyumba yangu. Wakati najenga lodges za tours. Ila spending money ilikuwa ni yeye anatoa, after all, hizo vacations zote tulienda ilikuwa ni ideas zake. Kuna appliances pia nilinunua mimi akiwepo kama washing machine, dryer, electric oven, etc ili kufanya maisha yake yawe rahisi akiwa Tz. Kwa hio nilichangia sana sana. Na sio kuwa yeye tu ndio alikuwa anachangia kifedha. Lakini tatizo ikawa maamuzi yote kama tunakula nini, tunaenda wapi, tunafanya nini, nk ni yeye tu vile anataka na si vinginevyo. Wazungu wanasema, "it was her way, or the highway". Ni atakavyo yeye, ama sivyo nipite hivi. Hadi ananikataza nikitaka kwenda site mara nyingine. Ila kweli kwa kitandani, muda wowote nikitaka, ananipa. Tena anasema baby mwili wangu umeumbwa kwa ajili yako, nifanye utakavyo na nitakupa kila kiti upate raha zote. Ila mwisho wa siku her controlling ways zikafanya nikaamua kupita hivi. Unavyoona hivyo ni sawa alivyofanya? Mimi sikutaka kum-control mtu. Ila pia sikutaka kuwa controlled namna hio. Mahusiano ni maelewano. After all, nilichangia sehemu kubwa sana kifedha pia.

Nilichokuwa naongelea ni kwamba wadada Tz, asilimia kubwa hata ndoto za biashara hamna. Na ukifunguliwa biashara mnaziua tu. Afadhali hata huyo mzungu, tungefungua biashara angechangia sana, kimawazo, kwa nguvu zake, na capital pia. Tatizo lake ndio lilikuwa hilo kwamba hakutaka kunipatia nafasi ktk mahusiano. Kwangu that defect of hers was a major issue indeed.

Nyie wadada Tz. Tunawapenda lakini mbadilike. Mie sitaki hela ya mtu, lakini nikiwa nawe, nataka uchangie hata kimawazo. Pisi kali za bongo hapo ndio mnashindwa kabisa.

Ps: Pia jitahidi usijibu kwa dharau. Hapa tuna elimishana. Hakuna sababu ya kubezana. Na kwa taarifa yako niliumia sana mimi na yeye tulivyoachana. Nilikataa kwenda kwao, alishaweka mambo sawa niende huko. Nikakataa. Nikaona kama huku tz kwetu ananifanyia hivyo, huko kwao je? Pia teari mimi na permanent residence USA. Yeye ni raia wa nchi mbili za USA na New zealand (Dual citizenshi). Alitaka tuhamie Nz, USA hakuipenda sana. Na tz palimshinda pia sababu ya mbu alikuwa akiumwa na mmoja tu anavimba mwili. Kwenda Nz kwangu ikawa issue. Nikaona tz, USA, na New zealnda = nchi tatu and that was just too much. Nilishaanza wekeza USA na Tz, sikuwa teari kuhamia nchi nyingine for a woman. Kwa hio nikaone huyu atanipoteza kimaisha na direction-wise. Hapo ndio tukashindwana. Miezi michache baadae, akawa amepata mzungu wakaja kuoana 2 years later. LAKINI SASA HIVI NIKIANGALIA ULIKUWA UAMUZI SAHIHI KABISA. NIMEFANYA MAMBO MAKUBWA AMBAYO NAJUA NINGEKUWA NAYE NISINGEFANYA. Sababu hata hela yangu binafsi alishaanza kui-control. Nikaanza kukosa uhuru wa kuiwekeza nk. Uhuru huo umenisaidia sana.
Ndo mgazeti wote huu we kaka!! 😂😂😂😂 Na sijausoma sasa

Muhimu wanaume acheni kupenda mteremko
 
Hii Sub topic inabidi iongezwe kwenye somo la uraia kwenye mambo ya Courtship and Marriage !!!
Iitwe "Jinsi ya kumpata mke"

Nishawaambia humu a million times kama mwanamke wako hawezi ku spend on you thats not a reliable partner. Mwanamke wa kuwa nae au kuoa hakikisha si mbinafsi maana maisha yana changamoto sana usijiongezee tabu kuwa na mwanamke mbinafsi.

Mwanamke ambaye unamsaidia full ila yeye hawezi kukusaidia ukimhitaji ni mshenzi tu na hafai.
Sijui hawa wenzetu wanawake wao wanawatoa wapiii aisee
 
Hii Sub topic inabidi iongezwe kwenye somo la uraia kwenye mambo ya Courtship and Marriage 😂!!!
Iitwe "Jinsi ya kumpata mke"

Nishawaambia humu a million times kama mwanamke wako hawezi ku spend on you thats not a reliable partner. Mwanamke wa kuwa nae au kuoa hakikisha si mbinafsi maana maisha yana changamoto sana usijiongezee tabu kuwa na mwanamke mbinafsi.

Mwanamke ambaye unamsaidia full ila yeye hawezi kukusaidia ukimhitaji ni mshenzi tu na hafai.
Umeandika jambo muhimu sana mkuu, shukrani.
 
Hii Sub topic inabidi iongezwe kwenye somo la uraia kwenye mambo ya Courtship and Marriage !!!
Iitwe "Jinsi ya kumpata mke"

Nishawaambia humu a million times kama mwanamke wako hawezi ku spend on you thats not a reliable partner. Mwanamke wa kuwa nae au kuoa hakikisha si mbinafsi maana maisha yana changamoto sana usijiongezee tabu kuwa na mwanamke mbinafsi.

Mwanamke ambaye unamsaidia full ila yeye hawezi kukusaidia ukimhitaji ni mshenzi tu na hafai.
Word
 
🤣🤣🤣🤣🤣 hizo ni stress za kuachika au!!! Unanitisha na kimarekani yeleuwiiiii
Si unajifanya hausomi magazeti?? Kuanzia leo mimi nitakujibu na audio tu. Tena za matusi tupu 😂😂😂😂
 
Si unajifanya hausomi magazeti?? Kuanzia leo mimi nitakujibu na audio tu. Tena za matusi tupu 😂😂😂😂
Hizo hasira si za kitoto ingia pm ama nikupe namba unitukane vizuri zaidi nipo kukusikiliza hadi hasira zikuishe, ila ukimaliza nakulamba block
 
Back
Top Bottom