Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

Unaokota jitu usiku huko hamjuami vizuri unamkaribisha nyumbani kwako na unalala usingizi kabisa..

Halafu inakuwaje serengeti zileweshe mtu? Au Kuna serengeti mpya siku hizi? Kama hizo tu zinakulewesha mjomba kuwa makini...
 
Zikifika nane huwa naanza kulewa
 
Sasa hivi amenipigia simu ''baby, unafanya nini? mi ndio nimetoka kuoga nataka niongee na wewe kabla ya kulala'' dah kupendwa raha bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua ni huyu mchepuko wangu alieingia mitini
Kaniaga anasafiri
Kafika huko kazima simu

Halafu anatabia hizohizo kuwa makini
 
Hivyo ndivyo ulimwengu wa giza unavyofankiwa kuharibu maisha ya watu wengi kwa kutumia ngono ,watu wameibiwa nyota zao pia, na mengine mengi bila wao kujua,aliyeibiwa hajijui ila huishia kuona amefaidi sana aliyefanya nae ngono
hakuna ukwel hapa
 
🤣🤣🤣🤣Kumbe walishafikia huko. Dah wacha tusubiri hapa naona mbususu tutakuwa tunapewa bure tuu
Mkuu ungekua Mimi unge jikuta una watoto nane... Kila mtoto na mama yake.
Sasa ilo Mimi nimeli hepuka.
 
Back
Top Bottom