Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,248
- 64,373
- Thread starter
- #41
Asante mkuuKila la kheri na new baby
Asante mkuuKila la kheri na new baby
Sawa mkuuHujakosea mkuu, wakulungwa wote tutafuata ushauri huu
Nalog off Z
Tupe uzoefu mkuuKumbe
Penzi jipya hiloIla akumbuke usitoe maamuzi ukiwa na furaha sana
Ujumbe na aupate mleta uziNdivyo wanavyoweza Kuwateka Akili mjue Mmemuweza. Kumbe ana Malengo yake Ki maisha. Hawa viumbe Wapo Radhi wawe na Wanaume 4 watakaoweza Kumwezesha Kujenga ..au Kuwa na Biashara
Kumbuka Mwanamke Anajua Wanaume wakiambiwa Hivi Vichwa Vyao Vinajaa
Usiogope mkuu, waafrika ndio tunawazaga mambo ya ajabu ajabu; kwa wenzetu ni juhudi zako tuKumbe ndio maana mademu wengi niliowagegeda wao tayari walishajenga mie naishi kupalilia majani kwenye kiwanja changu
Kweli mkuu, ukitaka kula mema ya dunia acha ubahiliUkweli kabisaaa
Fafanua hiyo namba moja ikoje?Kuna uwezekano mkubwa Umeingia Kwemye List ya Hawa
1. Jini
2. Malaya Wa Mjini
3. Mdangaji maarufu
Pitia Uzi Wangu mmoja kuhusu kabla hujaingia maakubaliano na Mtu.Utagundua Jambo
Nakubaliana na wewe; na akiwa na mmoja tu, utakuwa ni mzigo mkubwa sanaNdivyo wanavyoweza Kuwateka Akili mjue Mmemuweza. Kumbe ana Malengo yake Ki maisha. Hawa viumbe Wapo Radhi wawe na Wanaume 4 watakaoweza Kumwezesha Kujenga ..au Kuwa na Biashara
Kumbuka Mwanamke Anajua Wanaume wakiambiwa Hivi Vichwa Vyao Vinajaa
Hiyo muhimu, ingawa nilikuwa nakataa akawa mkali sana, siku ya pili alikuja na kipimo ndio tuka-enjoy zaidiHa ha ha.....[emoji4]
Hivi ulikumbuka Kinga kweli[emoji848]
😀😀😀😀😀😀😂😂😂mtamu sana
kwa ajili ya kampani tuPenzi jipya hilo
We neng’enekaTutalea mtoto, sitalea mimba😂😂😂
Mkuu, ukiwa peke yako hutofanya maendeleo yako zaidi ya kuhonga tuUjumbe na aupate mleta uzi