Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

Ndo tumefikia huko, hamna jinsi kila mtu anashikilia anachokiamini, ila ki ukwel ulimwengu tulionao umejaa zinaa sana, yaan mtu anakalisha watu wazima kuwasimulia alivyohangaika kutafuta UKIMWI kwa malaya aliyemuokota baa!
 
Usiogope kifo mkuu, kuna ajali, korona n.k
 
😀😀😀maua mengine ni sumu shaurilo
Sasa hivi amenipigia simu ''baby, unafanya nini? mi ndio nimetoka kuoga nataka niongee na wewe kabla ya kulala'' dah kupendwa raha bhana 😂😂😂
 
Hivyo ndivyo ulimwengu wa giza unavyofankiwa kuharibu maisha ya watu wengi kwa kutumia ngono ,watu wameibiwa nyota zao pia, na mengine mengi bila wao kujua,aliyeibiwa hajijui ila huishia kuona amefaidi sana aliyefanya nae ngono
hapa wataibiwa wengi sana
 
Watakuja kusema eti maudhui yaliyoko kwenye kisa chako hayashabihiani na kichwa cha habari!
 
Back
Top Bottom