Ukivaa Yu-Toung Nakupotezea

Sasa mkuu mwenzangu wao pia huwa wanapiga original au ndo vile? We mpe hela..mpe tena hela uone kama you tong haijaonekana scania
huo muda wa kuchunguza kama mtu anavaaga ORIGINALE unatoka wapi?
 
Rafiki...jamii ya siku hizi ni materialistic zaidi....
Umeona eeehhhh rafiki.....
Kumbe moyo siku hizi unagundua originality ya kitu.....
Ila leo nina furaha sana rafiki, nakuomba ufurahi pamoja nami kwa lolote linalonifurahisha
 

Hizo mbwembwe tu. Wallet ikikaa njema afu ukawa unasukuma mikoko ya haja wanawake wote wanakuwa wake zako. Wote wanakuona Tiger Woods au Christiano Ronaldo. Kazi yako ni kuwabadili utakavyo.

Ndo nshasema hivyo.
 
Kuna aina ya mashati na tshirt..ukivaa mwanamke ana pay attention...Mimi nna shati moja huwa hadi nasalimiwa by accident na wadada wakidhani tunafahamiana..kumbe shati..tu LOLl

Hata mie unanibarikigi sana ukilivaa lile shati aisee
 
Wananikera wanaovaa tshirt ndani ya shati badala ya vest.
 

Naamini maombi yangu yamesikilizwa na njia kuu ishaanza kutumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…