hivi shangazi umeenda ferry ku'buy sio vijifish vya elfu 30-40 !
Lets say una hoteli yako ya kiwango cha kati , so demand yako ni ku'buy mifish ya tsh laki 2-3 utadai risiti ?
Na hata ukidai , mazingira ya ferry yana issue risiti?
Wakati ukienda kariakoo ukanunua viatu pair 2 vikagharimu tsh elfu 50 tu , mazingira ya risiti ndo yanalazimu!
Tafakari !