CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hivi ile huduma inayopatikana pale Makoroboi na Deluxe & outskirts ya "wadadapoa" kuna muamala wa ku'issue risiti ?
mimi najua hiyo hiyo fed fiscal electronics device hii ni kama vile unibashkie
inategeme unauza ama unanua nini? biashara kudai risit mmhh haiwezekani!!
inategeme unauza ama unanua nini? biashara kudai risit mmhh haiwezekani!!
Huwa nadai risiti ili nikirudi ofisini wanirudishie changu...huduma yoyote ninayo nunua.
Now you have my point......
Mmmmh, sijui!!!
INATAGEMEA NA MAHALI NINAPO NUNUA kama pale maunt meru hotel,naura spring pale zile huduma za shorttime unakatwa na vati kabisa so risiti unapewaMkuu hata ile ya shor'time???
Niaje mapipooooo...........
"Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti"
Hebu tuwe wakweli, hivi nani alishawahi kutoa akiuza risiti au kudai risiti akinunua?????
Asubuhi njema kwenu nyote!!!!!!!!
INATAGEMEA NA MAHALI NINAPO NUNUA kama pale maunt meru hotel,naura spring pale zile huduma za shorttime unakatwa na vati kabisa so risiti unapewa
dada unamaswali ya mitego....achana na mahali,vipi yule anayetoa huduma anakupatiaga risitii?
Wanaofanya kazi tiaraei utawajua tu kwa hati zao!
Hivi tutakavyokam VAT hau mach?